I concur. Ahsante. Kumbe walimu wanakula maisha kimtindo.Diploma=TGTS C = 535,000/=
Degree = TGTS D = 716,000/=
Baada ya miaka 4, Huyo wa C atapanda D na D atapanda E = 940,000/=
Wataendelea kupanda hadi mwisho TGTS H.
Bila shaka nimejibu.
Kwa halmashauri mwalimu anazidiwa tu na wanasheria, afya, IT na engineers waliobaki wote wanasubirii kuanzia wahasibu, wachumi,utamaduni,HR na wengineI concur. Ahsante. Kumbe walimu wanakula maisha kimtindo.
Mitandaoni ila huku mtaani wanaheshimika sanaHakuna watu wana dharauliwa hapa bongo kama maticha
Labda kijijini kwenu mkuuMitandaoni ila huku mtaani wanaheshimika sana
Kwa halmashauri mwalimu anazidiwa tu na wanasheria, afya, IT na engineers waliobaki wote wanasubirii kuanzia wahasibu, wachumi,utamaduni,HR na wengine
Mkuu[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu mbona unawakanyagia sana matecher, au walikuchukulia demu nini!?
Sio tu halmashauri ila serikali kuu na TAMISEMI yote ngazi za mshahara zinafanana tena mwalimu anawazidi wenzake kwa 6000.viwango vya mishahara halmashauri vipo chini sana mkuu
Ni milioni tisa laki nane na arobaini na tatu alfu kwa mujibu wa taarifa ya janaJuzi wameongezewa tena nw umefika million 6 na nusu Chief
Tuna matatizo ya kujibu vitu vya ajabuMtu anauliza kwa kuhitaji kujua. Lakini nyie mnamjibu vitu vya ajabu. Hivi mna matatizo gani?
Awamu ya 5 imewapandishia nasikia sasa hivi digrii ni milioni25, Diploma ni milioni 20, certificate millioni 15Ni milioni tisa laki nane na arobaini na tatu alfu kwa mujibu wa taarifa ya jana
Kumbe wanalipwa M34 mwaka huu acha nirudi shule nisome u tichaz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leo imepanda ni million 34
Hakuna watu wana dharauliwa hapa bongo kama maticha
Mitandaoni ila huku mtaani wanaheshimika sana
[/QUOTE
Wanajua mambo mengine yapi?na elimu pia inachangia koz wanajua mambo mengi ,,,walimu wengi elimu ipo ...degree na diploma za kumwaga...so wapo juu kulinganisha na kada nyingizingine
Upo Karne ya ngapi kaka!? Utaishi kwà kukariri Hadi lini!? Hivi ukiondoa Programmes za Afya zilizobaki zote Criteria zake zinatofautiana Nini na Education kwà level ya Degree zote ni CUT OFF POINTS ya 4 Yaan minimum D2, Huko Diploma na Certificate ndio mashart ya Education magumu kuliko programmes zingine wengine wakitaka D4 tu usome Diploma, Education wao wanataka mwisho Division Three!!!Walimu ni wale watu waliofeli form 4 au form 6.
Ukipata div 4 au 3 ya mwisho utaskia "nenda kajaribu ualimu"
Kwa siku hizi ni tofauti kuna jamaa kibao tulisoma nao wametoka na Division II,I wameenda Education BachelorWalimu ni wale watu waliofeli form 4 au form 6.
Ukipata div 4 au 3 ya mwisho utaskia "nenda kajaribu ualimu"