Mshahara Wa Mwalimu (Maths, English Medium Primary School).

Gates

Member
Joined
Jan 18, 2011
Posts
48
Reaction score
4
Habari wapendwa. poleni na majukumu ya kila siku.

Naomba ushauri. Rafiki yangu amepata nafasi ya kufundisha somo la mathematics katika shule moja kubwa ya english medium (primary level) iliyopo jijini Dar es salaam. Tatizo linalomsumbua ni kiwango cha mshahara. Wamemwambia watamlipa kiasi cha sh. laki tano na kidogo lakini anahisi kiwango hiki ni kidogo kulingana na mazingira ya sasa. Ushauri anouhitaji ni kumjulisha kiwango cha mshara kwa walimu wa shule za english medium ili aweze ku'negotiate' kiwango chake cha mshahara na mwajiri wake . Tafadhali kwa yeyote anayejua naomba anijulishe.

Ahsanteni kwa msaada wenu, Mungu awabariki.
 

kuna shule hapa wilayan kwetu mwalimu wa history na english analipwa laki tisa,pia wanapewa laki na nusu ya nyumba
 
Kla shule ina viwango tofauti vya mshahara kwa shule za englsh medium,kafanye kaz acha uvivu dogo
 
kuna shule hapa wilayan kwetu mwalimu wa history na english analipwa laki tisa,pia wanapewa laki na nusu ya nyumba

mkuu naomba unipm jina la hiyo shule na contact zake kama unazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…