Mr worldwide
JF-Expert Member
- Dec 30, 2017
- 348
- 737
Hapo bado hujaweka makato ya NMB!Tukutane kwenye kampeni na ukarani wakati wa uchaguzi.
View attachment 1034139
Ndo nimeshangaaLapf contribution kwa nn iwe 5% while sekta karibu zote tunakatwa 10% ya basic salary
Sent using Jamii Forums mobile app
Unadhani ni sahihi kupost hii document kwenye mtandao?Tukutane kwenye kampeni na ukarani wakati wa uchaguzi.
View attachment 1034139
Imekuuma sana boss?Unadhani ni sahihi kupost hii document kwenye mtandao?
Unadhani ni sahihi kupost hii document kwenye mtandao?
Mwajiri anatoa 15% na mwanachama anachangia 5%.Lapf contribution kwa nn iwe 5% while sekta karibu zote tunakatwa 10% ya basic salary
Sent using Jamii Forums mobile app
Hhahahha...utakuwa hujajua asee.Lapf contribution kwa nn iwe 5% while sekta karibu zote tunakatwa 10% ya basic salary
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini isiwe sahihi mkuu?Unadhani ni sahihi kupost hii document kwenye mtandao?
Lapf contribution kwa nn iwe 5% while sekta karibu zote tunakatwa 10% ya basic salary
Sent using Jamii Forums mobile app
Wafanyakazi wote wa serikalini, i mean local gvt na central gvt makato yao yapo hivyo, muajiri wao anawachangia zaidi.Lapf contribution kwa nn iwe 5% while sekta karibu zote tunakatwa 10% ya basic salary
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa kabisa, hujakoseaKwa serikali Ni asilimia 5 kwa mtumishi na 15 kwa mwajiri(serikali) but sekta binafsi ndo 10 kwa 10