mshahara wa mtu mwenye atec 2 ya nbaa

mshahara wa mtu mwenye atec 2 ya nbaa

denti

Member
Joined
Mar 16, 2013
Posts
18
Reaction score
1
wanajamvi naomba mnisaidie kujua mshahara wa mtu mwenye acconting technician certificate level 2 ya bodi ya taifa ya uhasibu na ukaguzi wa mahesabu.
 
Taasisi za umma zina scale zake lakini private sector hakuna standard kuna watu wanalipwa laki 4 na MBA zao!

wewe angalia uzoefu wako then jiuze maana kuna watu nawajua ni ATEC holder lakini wana experience za hatari na wanalamba pesa ndefu tu!

Ushauri wa bure tafuta kazi ambayo haitakubana japo upate nauli na pesa ya kula then endelea kupiga shule ili uwe na uzoefu mzuri plus umesogea kidogo kielimu.
 
Dah ananikumbusha 1999 nilipokamata ATEC yangu, mkuu tafuta kibarua mi nilikamata ajira na hiyo miaka hiyo nilikuwa nakula 270,000/=, pendelea sana katika mabenki. Saa hz mi niko mbali na kadegree nilishamaliza maisha yanasonga
 
inategemea na taasisi, kila taasisi ina scale zake za mishahara mfano km ukipata BOT utaanza na 1.2m ila ukipata halmashauri utaanza na 230000 au kama ukipata benki utaanza na 600000 na kuendelea
 
poa mkuu kwa ushauri wako mzuri

mkuu denti,bila shaka utakuwa ushapata kijiwe,sasa naomba msaada kwako hata kwa mwingine anayefahamu.ninaomba kufahamu ada za atec i&ii zikoje?jinsi ya kupata usajir na muundo wa usomaji ukoje?nina mdogo wangu anahitaji kufanya hiyo mitihani na ana sifa na vigezo.

Nashukuru kwa majibu mazuri na yenye tija.
 
Back
Top Bottom