​Habari zenu wadau natumai mko vizuri. Mi naomba kujuzwa kuhusu BASIC SALARY ya kuanzia ndani ya NSSF kwa graduate wa BCOM. Please naombeni msaada wenu ASAP.
​Habari zenu
wadau natumai mko vizuri. Mi naomba kujuzwa kuhusu BASIC SALARY ya
kuanzia ndani ya NSSF kwa graduate wa BCOM. Please naombeni msaada wenu
ASAP.
Acheni kumdanganya mwenzenu! Me mtoto wa kaka yake babaake shangazi yangu anafanya huko...ameniambia take home ni tsh 3092575 ila wanampango wakuongeza 15%katkat ya mwez huu!

Laa watoto mnachukua hela siku hizi sio mchezo. Mi nimestaafu umeneja toka shirika fulani la umma miaka ya karibuni niliishia na laki sita tu nyie mihela kibao. Loo mnachuna kweli.

We acha tu kaka,wenzetu WANABUNYA,inaniuma coz nilifanya intavyuu ya mara ya pili na sioni nilipokosea lakini mwanawani nikamwagwa,ila poa sio riziki,ojne day itakuja kivingine tu ili mradi tu mungu wao ndio mungu wetu