You are definitely not serious. Hapo unataka wasipokee rushwa? Unahukumu kesi ya mamilioni, mtu anakulengeshea milioni tano, utaiacha kwa mwendo wa laki mbili kwa mwezi?! These learnt Brodas and sisters are a big joke then! Chichemi.
ni lakisita hadi laki tisa. pia inategemeana kama wewe ni resident magistrate, district magistrate na miaka uliyofanya etc. vilevile kama wewe ni incharge au hakimu wa kawaida..upo hapo...