Mshahara wa graduate mpya developer Google

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,495
2,251
Screenshot_2018-11-01-09-38-55-822_com.android.chrome.png

Nenda Levels.fyi kuona mishahara ya Google, Facebook & Microsoft
 
Weka na kodi sasa maana huo mshahara ni wa mwaka mzima....hivyo gawa kwa 12 hapo kujua kwa mwezi anapata kiasi gani ila.kwa kifupi huo mahahara unalingana na bosi wa UN wa dunia ingawa wao hawakatwi kodi...ila marekani kwa kodi ni hatari wale jamaa wa NBA wanalipwa $32,000,000 kati ya hizo $17,000,000 ni kodi daah si mchezo...
 
Google walisema hawatatumia College degree kama kigezo cha ku-hire wafanyakazi

Hata Unity nao wanafanya hivyo hivyo pia, makampuni yanataka mtu wa kumove biashara zao, so kuna watu ni oriented na experience zakutosha na hawana college degree,
College brings title, experience brings profession.
 
Naona wavivu wa kusoma mnajipa moyo na kujifariji.

Waliposema hawaangalii digrii haikumaanosha hawazitaki.
 
Ni hisia zako tu mkuu, watu wataka kukamilisha project zao, vyeti havikamilishi project, hakuna aliyesema hawataki, ila elewa mwenye degree na asiye na degree wote watawekwa meza moja, kama the issue is about portfolio
Naona wavivu wa kusoma mnajipa moyo na kujifariji.

Waliposema hawaangalii digrii haikumaanosha hawazitaki.
 
Back
Top Bottom