Hawa wanaotamba huku watumishi hivi mala vile ndo sissi tunaowasaidia na kuwachangia na wengine wenu mnalala kwa mashemeji kisa kazi hakuna.
Naiomba serikali iajiri bana maana naangaliwaga vibaya hapa mtaani na hawa vijana wasione umebadili raba wanajua hela ipo kumbe ni ka laki kadhaa hapo kimeshakatwa makato wewe kazi yako kupokea chenchi
Chenchi zetu mtupeni bana alafu tukizeeka izo chenchi nazo zina kodi hii serekali hii mi ntailoga kwa kweli