Mshahara wa dhambi ni Mauti!

😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Pole sana, jifunze kumcha Mungu, shetani anakupa starehe ya muda mfupi alafu anakupoteza mazima.
 
Unamwabie yeye ajipumzishe wakati amekufa?
Sasa na wewe mbona unapoteza muda kudiscuss na kuleta taarifa za mtu aliyekufa??Pili kwamba watenda dhambi ndo wanakufa nyinyi watakatifu mtapalizwa mbinguni kwenye upepo wa kisulisuli kama nabii Elia sio???
 
Tusipangiane, acha kila mtu aishi anavyotaka hayo ni maisha yake akikosa dhambi au akiwa nazo hakuna utakachomuongezea wala kumpunguzia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…