Mshahara wa Civil Engineer

Usiwaje kuajiliwa utakufa masikini karibu civil engineer uku hakuna kemcho kemcho work (ubashite) maana utaumbuka me nipo chuo mwaka wa mwisho diploma
 
naomba unisaidie na vipi kuhusu electric engineering rachankipi ni chuo kizuri cha diploma hiyo na je kazi unapata
 
Hv jman civil eng analpw kiac gn kwa mwez
Specify serikalini au private mishahara ni tofauti lakini kwa serikalini fresha wanaanza na TGS E ,kwenye laki tisa naa(halmashauri) ,but kwa mshirika ya umma ya serikalini ni zaidi ya apo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom