Majaribu2013
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 952
- 1,050
Kuwaombea haisaidii Munkari. Tunatakiwa kufanya jambo flani mahali flani kwa ajiri wa kuwasaidia hawa ngudu zetu.Maskini!! Tuwaombeeni tu!!
Ni maisha tu,,, kuna mama barmaid ni mfanyakazi wetu kasomesha mtt wake na sasa yuko universty mwaka2 matumaini yake ni kwa mtoto wake tu!!!!! ujue hawapendi kufanya hayo bali ni maisha magumu tu......
Napata shida sana kuona baamaid anabakwa, anapigwa na pengine hata kuuwawa akitetea haki zake,.. na mara nyingi watu hawa huwa ni wakarimu wakati wa kutoa huduma na wanajitolea kufanya kazi hadi usiku mnene lakini malipo yake ni kilio kwao mshahara kiduchu but nashauri mabaamaid wasikate tamaa waunde chama chao kisajiliwe serikalini ili kutetea haki zao na nazani hapo ndo utakuwa mwarobaini wa matatizo yao lakini wewe mdau uliyeanzisha mada kumbuka mabamaid sio wote ukiwatongoza wanakubali na wengine ni wake za watu na wanajiheshimu futa kauli yako!
Yeah but sio wote wapo na tabia hiyo wengine wanajielewa
Vyombo vinavyohusika wanetulia
1,500/= inasaidia nini? Au na wao wanamiliki hizo bar
Inasikitisha sana
Vyombo vinavyohusika wanetulia
1,500/= inasaidia nini? Au na wao wanamiliki hizo bar
Inasikitisha sana
Mama vyombo unavyikusudia havipo yapo majina tu
Labda uwe unazungumzia masufuria
Kama unamaanisha serikali na vitengo vyake ni kama hatuna kabisaaaa!!!!