Mshahara wa bank officer, Exim Bank

Mshahara wa bank officer, Exim Bank

frank jerry

Member
Joined
Mar 24, 2014
Posts
58
Reaction score
3
wanajamii forum kwa mtu anayefahamu mshara(gross salary) wa banking officer exim bank ni shilingi ngapi kwa mtu anayeanza kazi mara ya kwanza naomba anijuze
 
tulia ww usifanye unajua kukosoa coz wao wakitangaza wanasema banking officer na sio bank officer
 
mkataba wako wa kazi unasemaje? au unataka kujua tu/kujilinganisha na mtu mwingine/ au kuna mtu imemuweka kwenye target ya kumpiga mzinga?
 
...wadosi wanalipa vizuri kweli...?
 
Back
Top Bottom