Mwakalinga Bujo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2008
- 2,718
- 1,443
Mshahara wa Assistant lecturer ni PUTS 13 hadi PUTS 14 ukiajiriwa upya lazima uitumikie hiyo PUTS 13. PUTS 13 ni kama 1,348.070/= na PUTS 14 ni kama 1,701,070/= na hizo zote ni basic bado makato PUTS13 ukikatwa makato yote unachukua take home kama laki tisa na kitu hivi na PUTS 14 ukikatwa unaondoka na take home kama milionna laki mbili hivi hapo kama hauna mikopo.Hakuna marupurupu mengine mkuu hii ni kazi ya wito si ualimu au hujui Ukitaka rank zingine zipo kama lecturer,senior lecturer,Associate prof and full prof.Kazi njema.

hauko sirias...nenda kasome kwanza umri na muda huwa havisubiri mtu especially kama umepata scholarship, shule kwanza pesa baadaye!
Fanya kazi kwanza.... utaomeshwa na ukirudi utakuwa na kazi yako na seniority haitakuwa affected.Figure halis ya TA please, mana nimepata chuo flan na wakati huo nina admission ya M.A. nafikiria kufanya kaz kwanza! ushauri please!
Power of negotiation. Unauzika?vyuo binafsi vinatofautiana wengine wapo juu ya hapo wengine wapo chini ya hapo kwa hiyo it depends umeenda wapi.
Baada ya makato ni kama 850000/= hivi. Hata hivyo hicho ni kiwango cha Mwaka 2010/11 kiwango kipya kimeshatolewa na hazina. Private kuna motivation zaidi kama Teaching allowance n. ila na mzigo unapiga kwelikweliHakuna ngazi ya full tutorial bali kuna ngazi ya tutorial assistant nae analipwa 1,080,100/= kabla ya makato ya kodi na mengine. Akikatwa anabeba take home kama laki saba na thelathini na kitu hivi.Wana jamii viwango hivyo ni kwa vyuo vya serikali vyuo binafsi vinatofautiana wengine wapo juu ya hapo wengine wapo chini ya hapo kwa hiyo it depends umeenda wapi.
dah!kwel walimu wana maisha magumu!Baada ya makato ni kama 850000/= hivi. Hata hivyo hicho ni kiwango cha Mwaka 2010/11 kiwango kipya kimeshatolewa na hazina. Private kuna motivation zaidi kama Teaching allowance n. ila na mzigo unapiga kwelikweli
dah!kwel walimu wana maisha magumu!
Jamani kada zingine kama wahasibu au maboharia hawana mishahara mikubwa lakini wana marupurupu mengi ambayo akiyakusanya kwa week 2 tu ana mshahara wa Assistant lecturer lakini walimu hawana hii kitu ni goli mpaka goli na we nenda vyuoni ukaone boharia labda ana degree moja maisha yake yapo juu kuliko hata lecturer mwenye Phd kwa hiyo it descourage kwa kweli.Ukitaka uhalisia walimu wa vyuo wengi ni watoto wa wakulima we unafikiri watoto wa mafisadi hawapo ambao wamefaulu kwa ajili ya kufundisha vyuo wazee wao wameona ni kada ya umasikini hii.Mishahara iliyoongeza hazina walitoa waraka wakaurudisha wakaongeza kada zingine si kwa walimu sasa sijui maana yake nini.Nchi hii mambo si mazuri kwa kweli hasa unapotumia jina la mwalimu haijalishi unafundisha wapi na una elimu gani.Kama upo humu akili kumkichwa otherwise you will sail in poverty circle.Chuoni kuna masenior lecturer lakini maisha du wanatia hata huruma wazee inabidi tuikomboe hii nchi la sivyo sijui.
Mshahara wa Assistant lecturer unategemeana na uzoefu wako. Mimi ni assistant lecturer -public University napata sh. 2,326, 000/= and many other fringe benefits. lakini issue ya fringe benefits inatofautiana, kulingana na policy za chuo. Jiandae kufanya research itakusaidia sana kwani autagusa mshahara wako. Mimi nina miezi kama saba hivi sijagusa mshahara wangu. Ila ukiwa mvivu ndio utaichukia kazi

nenda kasome kwanza umri na muda huwa havisubiri mtu especially kama umepata scholarship, shule kwanza pesa baadaye!
teh tehe!!!sasa huo utani wa ngumi na maafandeKumbe nao wana maisha magumu?ndo maana bac wanakuaga busy na kazi za consultancy,othrwise hawana tofauti na maafande.
Hakuna cheo cha full tutorial ila kuna tutorial assistant nae analipwa 1,080,100/= basic wakikata kodi zao na mifuko ya jamii unabakiwa na kama laki saba na thelathini na kitu hivi