Mshahara wa Assistant Lecturer

Nimekumbuka UDOM walichonifanyia kwenye application tena tutorial assistant,nina sifa zote lakini hata kwenye shortlist simo,then naona mtu mmoja amewekwa shortlist nafasi zaidi ya moja,nikasikitika sana;
Nikaaply kwingine nikapata,UDOM&UDSM badilikeni kwenye mambo ya interview,maana hawa wakufunzi ndio wanaandaa nguvu kazi ya Taifa;
 
Wadau wengi hapa walidhani nimetunga.
Bora na wewe umesema
 
Daaaah kwa kiingereza changu cha kujibia mitihani tuuu naomba niiruke hiyo comment nisije nikaongeza stress ukiacha na hizi za kitaa kugumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…