Umeandika ukweli kiasi. Lakini kaa ukijua kuwa kila mmoja huwaza atapata nini, atalipwaje, ataishije, atajikwamuaje nk. Ni kujidanganya tu kwa kujidai unataka kazi ambayo haujui utalipwa kiasi gani! Utakuwa ujinga uliopakwa wanja aina ya "sina mume"!Yani ww unawaza mshahara tu na ufikirii ufani wa kufanya kazi, aiseeeee
Maisha haya usipowaza pesa uwaze nini unadhani??.Yani ww unawaza mshahara tu na ufikirii ufani wa kufanya kazi, aiseeeee
Yani ww unawaza mshahara tu na ufikirii ufani wa kufanya kazi, aiseeeee
Duh? Kumbe kwa wahindi kuna nafu. Ingawa unaweza timuliwa muda wowote. Watumishi kumbe mbwembwe tu na wizi Mishahara kiduchu.Nimerudi tena kuwashukuru wale wote waliochangia, lakini zaidi namshukuru mdau mmoja ambaye ameni-inbox kunijuza kile nilichokuwa naulizia, kwa faida ya wengine wenye kutaka kujua soma hapo chini.
"Habari yako! Nimeona post yako unauliza khs salary. Mimi ni A. Lecturer. Salary kwa public universities kwa ngazi hiyo ni 2,545,000/-. Hiyo ndio unaanza nayo kabla ya makato. Wakikata vyao inabaki kama 1.7 or 1.8 hivi".
naomba kujua kuhusu marupurupu ninayoweza kupataNimerudi tena kuwashukuru wale wote waliochangia, lakini zaidi namshukuru mdau mmoja ambaye ameni-inbox kunijuza kile nilichokuwa naulizia, kwa faida ya wengine wenye kutaka kujua soma hapo chini.
"Habari yako! Nimeona post yako unauliza khs salary. Mimi ni A. Lecturer. Salary kwa public universities kwa ngazi hiyo ni 2,545,000/-. Hiyo ndio unaanza nayo kabla ya makato. Wakikata vyao inabaki kama 1.7 or 1.8 hivi".
Kwa wahindi gani? Wanalipa milioni ngapi?Duh? Kumbe kwa wahindi kuna nafu. Ingawa unaweza timuliwa muda wowote. Watumishi kumbe mbwembwe tu na wizi Mishahara kiduchu.
Nimerudi tena kuwashukuru wale wote waliochangia, lakini zaidi namshukuru mdau mmoja ambaye ameni-inbox kunijuza kile nilichokuwa naulizia, kwa faida ya wengine wenye kutaka kujua soma hapo chini.
"Habari yako! Nimeona post yako unauliza khs salary. Mimi ni A. Lecturer. Salary kwa public universities kwa ngazi hiyo ni 2,545,000/-. Hiyo ndio unaanza nayo kabla ya makato. Wakikata vyao inabaki kama 1.7 or 1.8 hivi".
Duuh...huo ni mshahara kidogo..??Duh? Kumbe kwa wahindi kuna nafu. Ingawa unaweza timuliwa muda wowote. Watumishi kumbe mbwembwe tu na wizi Mishahara kiduchu.
Duuh...huo ni mshahara kidogo..??
marupurupu ni pale utakapoongeza coz work[emoji13]naomba kujua kuhusu marupurupu ninayoweza kupata
Umepewa nyama unaomba na kisu....marupurupu wanafunzi wapenda kitonga utawauzia A na B+..wengine utawala hasa wa kikenaomba kujua kuhusu marupurupu ninayoweza kupata