Zero Competition JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 347 Reaction score 556 Feb 1, 2022 #1 Heshima kwenu. Naomba kujuzwa, hivi hizi kampuni za mikopo huwa zinalipa mshahara wa Tshs ngapi kwa afisa mikopo? Je, mbali na mshahara huwa Kuna benefits zingine ambazo mfanyakazi anapata?
Heshima kwenu. Naomba kujuzwa, hivi hizi kampuni za mikopo huwa zinalipa mshahara wa Tshs ngapi kwa afisa mikopo? Je, mbali na mshahara huwa Kuna benefits zingine ambazo mfanyakazi anapata?
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,960 Reaction score 26,135 Feb 1, 2022 #2 Laki 3
Zero Competition JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 347 Reaction score 556 Feb 1, 2022 Thread starter #3 kyagata said: Laki 3 Click to expand... Shukrani sana
boda JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 348 Reaction score 297 Feb 1, 2022 #4 Ni vizuri ungeitaja hiyo kampuni, maana hizo za utoaji wa mikopo siku hizi zipo nyingi sana
S Statistics JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 3,762 Reaction score 8,013 Feb 1, 2022 #5 Utalipa kamisheni,
K Kashuwa Member Joined Nov 19, 2021 Posts 75 Reaction score 40 Feb 5, 2022 #6 Raja kabisa ili wadau tunapochangia tujikite kwenye kampung husika kampuni ni nyingi
Zero Competition JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 347 Reaction score 556 Feb 5, 2022 Thread starter #7 Kashuwa said: Raja kabisa ili wadau tunapochangia tujikite kwenye kampung husika kampuni ni nyingi Click to expand... ASA Microfinance
Kashuwa said: Raja kabisa ili wadau tunapochangia tujikite kwenye kampung husika kampuni ni nyingi Click to expand... ASA Microfinance
Zero Competition JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 347 Reaction score 556 Feb 5, 2022 Thread starter #8 boda said: Ni vizuri ungeitaja hiyo kampuni, maana hizo za utoaji wa mikopo siku hizi zipo nyingi sana Click to expand... ASA Microfinance
boda said: Ni vizuri ungeitaja hiyo kampuni, maana hizo za utoaji wa mikopo siku hizi zipo nyingi sana Click to expand... ASA Microfinance
isco francisco Member Joined Aug 25, 2017 Posts 78 Reaction score 146 Feb 5, 2022 #9 Zero Competition said: ASA Microfinance Click to expand... laki 4
K kyanyangwe JF-Expert Member Joined Oct 31, 2018 Posts 1,501 Reaction score 4,282 Feb 6, 2022 #10 Zero Competition said: ASA Microfinance Click to expand... Hao sio walipaji wazuri mkuu, ila kachape kazi
Zero Competition said: ASA Microfinance Click to expand... Hao sio walipaji wazuri mkuu, ila kachape kazi
cabo JF-Expert Member Joined Jun 15, 2016 Posts 4,774 Reaction score 5,312 Feb 8, 2022 #11 Zero Competition said: ASA Microfinance Click to expand... Hawa wanakupa na nyumba kabisa ya kuishi kama utapangiwa mkoani
Zero Competition said: ASA Microfinance Click to expand... Hawa wanakupa na nyumba kabisa ya kuishi kama utapangiwa mkoani
Zero Competition JF-Expert Member Joined Sep 12, 2018 Posts 347 Reaction score 556 Feb 8, 2022 Thread starter #12 cabo said: Hawa wanakupa na nyumba kabisa ya kuishi kama utapangiwa mkoani Click to expand... cabo said: Hawa wanakupa na nyumba kabisa ya kuishi kama utapangiwa mkoani Click to expand... Shukrani sana
cabo said: Hawa wanakupa na nyumba kabisa ya kuishi kama utapangiwa mkoani Click to expand... cabo said: Hawa wanakupa na nyumba kabisa ya kuishi kama utapangiwa mkoani Click to expand... Shukrani sana