Psychoanalysis
Member
- Oct 29, 2023
- 22
- 11
Hii imekaaje wadau ?
Anasema alikwenda kwa HR wakaingiza account namba sahihi, lakini mpaka leo kimyaAende akahoji kazini na bank
BankAnasema alikwenda kwa HR wakaingiza account namba sahihi, lakini mpaka leo kimya
Ndio tunasubiria aende jumatatu, then tutatoa mrejesho.Bank
HR ndio alikosea, badala ya kuwe account number akaweka card number Ile ndefu yenye 16 digits, cha ajabu ni kuwa kwenye system inaonekana ipo successful, maana si kawaida, kama ikikosewa inaonesha invalidKama alikosea akaunti namba asubiri bank wakireverse afuatilie waweke kwenye akaunti sahihi........
Nalo ni wazo pia, lakini si unajua uwezo wa watumishi wa halmashauri, hata kwenye report ya CAG iliyopita.Wazee wakitusema vijana tuna mind lakini huyu kijana mwenzetu hajawaona wote ofisini kaja straight hapa.
Nashauri kuna mambo ya kusolve katika office level ila yale complex ndio ya kuleta hapa.
Kama nimekosea unisamehe, hapo ni HR,accounting team na bank.
HR analipa mshahara kwenye account namba ambayo umeiorodhesha wewe mwenyewe kwenye fomu ya taarifa za Mtumishi. yawezekana wewe una zile kadi za pre paid NMB ambazo wengi wenu mnachanganya kati ya kadi namba na Account namba.HR ndio alikosea, badala ya kuwe account number akaweka card number Ile ndefu yenye 16 digits, cha ajabu ni kuwa kwenye system inaonekana ipo successful, maana si kawaida, kama ikikosewa inaonesha invalid
HR analipa mshahara kwenye account namba ambayo umeiorodhesha wewe mwenyewe kwenye fomu ya taarifa za Mtumishi. yawezekana wewe una zile kadi za pre paid NMB ambazo wengi wenu mnachanganya kati ya kadi namba na Account namba
Kwahiyo unamsaidiaje mtu kama huyo, ingawa HR ndio alikoseaHR analipa mshahara kwenye account namba ambayo umeiorodhesha wewe mwenyewe kwenye fomu ya taarifa za Mtumishi. yawezekana wewe una zile kadi za pre paid NMB ambazo wengi wenu mnachanganya kati ya kadi namba na Account namba.