C CHUAKACHARA JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 12,361 Reaction score 6,441 Aug 23, 2016 #21 _Iramba said: nipo hapa nachungulia hapa nmb branch,mbona sioni mtu hata mmoja! Click to expand... Basi ukiona hivyo bado!
_Iramba said: nipo hapa nachungulia hapa nmb branch,mbona sioni mtu hata mmoja! Click to expand... Basi ukiona hivyo bado!
Mbingo JF-Expert Member Joined Mar 20, 2014 Posts 411 Reaction score 230 Aug 23, 2016 #22 Katavi said: Kumbe Click to expand... Acha upuuzi watu wako serious wewe unaleta utoto mshahara bado bana
Katavi said: Kumbe Click to expand... Acha upuuzi watu wako serious wewe unaleta utoto mshahara bado bana
iparamasa JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 13,437 Reaction score 14,934 Aug 23, 2016 #23 Inaonekana hali ni mbaya hazina ya taifa
Nas Mapesa JF-Expert Member Joined Jul 31, 2014 Posts 5,286 Reaction score 5,423 Aug 23, 2016 #24 Uzi wako una bahati mi nimesema kitu kuhusu mkulu kufilisika ukaondolowa fasta
Yohana Kilimba JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 8,105 Reaction score 5,635 Aug 23, 2016 Thread starter #25 Katavi said: Haijatoa taarifa bado.! Click to expand... acia tusubirie
iparamasa JF-Expert Member Joined Nov 14, 2013 Posts 13,437 Reaction score 14,934 Aug 23, 2016 #26 Serikali imeshindwa kuajiri,imeshindwa kupandisha mishahara,imeshindwa kupandisha madaraja watumishi. Sasa naona hata mshahara itakuwa shida Viwanda hoyeeeeeee!!!!!!
Serikali imeshindwa kuajiri,imeshindwa kupandisha mishahara,imeshindwa kupandisha madaraja watumishi. Sasa naona hata mshahara itakuwa shida Viwanda hoyeeeeeee!!!!!!
Shida na raha JF-Expert Member Joined Aug 8, 2014 Posts 3,773 Reaction score 3,474 Aug 23, 2016 #27 _Iramba said: kick ya pikipiki?mie natimiza wajibu!kwani aliniambia nimshtue katika tarehe hii ya 22 na 23!na mie nimefanya hivyo! Click to expand... Kumbe mlikubaliana sasa tatizo liko wapi ukitoka mshahara atakwambia au umepangisha tapeli?
_Iramba said: kick ya pikipiki?mie natimiza wajibu!kwani aliniambia nimshtue katika tarehe hii ya 22 na 23!na mie nimefanya hivyo! Click to expand... Kumbe mlikubaliana sasa tatizo liko wapi ukitoka mshahara atakwambia au umepangisha tapeli?
Yohana Kilimba JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 8,105 Reaction score 5,635 Aug 23, 2016 Thread starter #28 Ambiele Kiviele said: enzi za kikwete aya makitu hayakuwepo Click to expand... enzi za "hendisamu" kikwete mida hii wapangaji wangu washanipa changu na wanacheka vicheko vya furaha tu!ahahaha!hapo fazahausi nishapewa ofa na afisa maliasili!dah!those sweet old days!
Ambiele Kiviele said: enzi za kikwete aya makitu hayakuwepo Click to expand... enzi za "hendisamu" kikwete mida hii wapangaji wangu washanipa changu na wanacheka vicheko vya furaha tu!ahahaha!hapo fazahausi nishapewa ofa na afisa maliasili!dah!those sweet old days!
K kanda maalumu Member Joined Jun 29, 2016 Posts 13 Reaction score 2 Aug 23, 2016 #29 _Iramba said: Kuna Mtu Mtumishi Namdai Kodi ya Nyumba! Vipi?Shimo Lishatema? Kwani Aliniahidi Tarehe 22 Mkulu Atakuwa Ameshalitemesha! Nawasilisha! Click to expand... 2mia NMB mobile kujua
_Iramba said: Kuna Mtu Mtumishi Namdai Kodi ya Nyumba! Vipi?Shimo Lishatema? Kwani Aliniahidi Tarehe 22 Mkulu Atakuwa Ameshalitemesha! Nawasilisha! Click to expand... 2mia NMB mobile kujua
M CM JF-Expert Member Joined Nov 25, 2012 Posts 2,498 Reaction score 1,482 Aug 23, 2016 #30 _Iramba said: Kuna Mtu Mtumishi Namdai Kodi ya Nyumba! Vipi?Shimo Lishatema? Kwani Aliniahidi Tarehe 22 Mkulu Atakuwa Ameshalitemesha! Nawasilisha! Click to expand... We ndo muhusika sema unataka kujificha kwa la karanga
_Iramba said: Kuna Mtu Mtumishi Namdai Kodi ya Nyumba! Vipi?Shimo Lishatema? Kwani Aliniahidi Tarehe 22 Mkulu Atakuwa Ameshalitemesha! Nawasilisha! Click to expand... We ndo muhusika sema unataka kujificha kwa la karanga
BILGERT JF-Expert Member Joined Feb 27, 2015 Posts 6,532 Reaction score 11,027 Aug 23, 2016 #31 Mbingo said: Acha upuuzi watu wako serious wewe unaleta utoto mshahara bado bana Click to expand... Mbona povu mkuu,
Mbingo said: Acha upuuzi watu wako serious wewe unaleta utoto mshahara bado bana Click to expand... Mbona povu mkuu,
Yohana Kilimba JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 8,105 Reaction score 5,635 Aug 23, 2016 Thread starter #32 iparamasa said: Hazina pamekauka....hakuna pesa,zimepelekwa operesheni vunja ukuta,pia bandari imekauka na watalii hakuna Click to expand... dah!mkuu,are you serious?mbona unataka kuitia furaha yangu huzuni!
iparamasa said: Hazina pamekauka....hakuna pesa,zimepelekwa operesheni vunja ukuta,pia bandari imekauka na watalii hakuna Click to expand... dah!mkuu,are you serious?mbona unataka kuitia furaha yangu huzuni!
Yohana Kilimba JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 8,105 Reaction score 5,635 Aug 23, 2016 Thread starter #33 Katavi said: Kumbe Click to expand... kumbe?acha nimgongee mlangoni,aende kwenye a.t.m fasta!
Yohana Kilimba JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 8,105 Reaction score 5,635 Aug 23, 2016 Thread starter #34 kapompogoro said: Bado Click to expand... Dah!bad news to me! kapompogoro said: Bado Click to expand... dah,mkuu are you serious?
kapompogoro said: Bado Click to expand... Dah!bad news to me! kapompogoro said: Bado Click to expand... dah,mkuu are you serious?
Lung'wecha JF-Expert Member Joined Aug 20, 2014 Posts 927 Reaction score 575 Aug 23, 2016 #35 Mleta mada si useme tu kuwa ni wewe unasubiri salary!
M mtanzania10 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 271 Reaction score 81 Aug 23, 2016 #36 inshu tayari we Fanya kucheck nmb mobile me nimeckeck nikakuta shimo limetema
BILGERT JF-Expert Member Joined Feb 27, 2015 Posts 6,532 Reaction score 11,027 Aug 23, 2016 #37 mtanzania10 said: inshu tayari we Fanya kucheck nmb mobile me nimeckeck nikakuta shimo limetema Click to expand... Wameingiza uck huu ama?
mtanzania10 said: inshu tayari we Fanya kucheck nmb mobile me nimeckeck nikakuta shimo limetema Click to expand... Wameingiza uck huu ama?
Yohana Kilimba JF-Expert Member Joined Dec 25, 2012 Posts 8,105 Reaction score 5,635 Aug 23, 2016 Thread starter #38 nasmapesa said: Uzi wako una bahati mi nimesema kitu kuhusu mkulu kufilisika ukaondolowa fasta Click to expand... mkuu,labda wamenionea huruma!
nasmapesa said: Uzi wako una bahati mi nimesema kitu kuhusu mkulu kufilisika ukaondolowa fasta Click to expand... mkuu,labda wamenionea huruma!
M mtanzania10 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 271 Reaction score 81 Aug 23, 2016 #39 BILGERT said: Wameingiza uck huu ama? Click to expand... me nimecheck nmb mobile mda huu nikaona salio linasoma
BILGERT said: Wameingiza uck huu ama? Click to expand... me nimecheck nmb mobile mda huu nikaona salio linasoma
MAPOUDA JF-Expert Member Joined Mar 3, 2013 Posts 446 Reaction score 296 Aug 23, 2016 #40 Kwan mlivyopangishana ulikuja kutoa taarifa humu ushamba wewe