Yohana Kilimba
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 8,105
- 5,642
Sasa atashindwaje kulipa wakati umempangisha au unatafuta kick?Kuna Mtu Mtumishi Namdai Kodi ya Nyumba!
Vipi?Shimo Lishatema?
Kwani Aliniahidi Tarehe 22 Mkulu Atakuwa Ameshalitemesha!
Nawasilisha!
mkuu,mie nafuatilia ahadi tu!kosa langu nini?Mshahara unatoka kwani ulienda wapi sema Kama unataka viroba kwa watumwa (wafanyakazi)
mkuu,kwaio unatoka ln?maana miezi sita kadhaa iliyopita mpunga ulikuwa unatoka kati ya 22 hadi 26!sasa siku ndio zinayoyomaUnatofautiana kutoka kwake, kiuhakika ni kutokana na tarehe makhsusi zilizowekwa.
ndio serikali imesema hivyo?Mvumilie hadi tarehe 30
Haijatoa taarifa bado.!ndio serikali imesema hivyo?
NENDA NMB ATM UKIKUTA LINE NDEFU, JIBU NALO!Kuna Mtu Mtumishi Namdai Kodi ya Nyumba!
Vipi?Shimo Lishatema?
Kwani Aliniahidi Tarehe 22 Mkulu Atakuwa Ameshalitemesha!
Nawasilisha!
kick ya pikipiki?mie natimiza wajibu!kwani aliniambia nimshtue katika tarehe hii ya 22 na 23!na mie nimefanya hivyo!Sasa atashindwaje kulipa wakati umempangisha au unatafuta kick?
KumbeTayar mkuu,chek salio
yeye mwenyewe!na alikuwa akitaja tarehe 22 na 23!na most of the time ilikuwa hivyo!Siku zote ulikuwa unamuuliza nani kama mshahara umetoka?
nipo hapa nachungulia hapa nmb branch,mbona sioni mtu hata mmoja!NENDA NMB ATM UKIKUTA LINE NDEFU, JIBU NALO!