Mshahara umemliza mke wangu

Ningekuwa Mimi ningemuuliza alitarajia aongezewe ngapi?akinipa jibu nitakuwa namuwekea kila mwezi...ilinasipate uchungu....WE UNA MBEMBELEZA BURE BURE?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole bestito mfungulie kitu cha kufanya ili kuongeza kipato chake kwani akilia haisaidii kitu atajiletea magonjwa tu bure
 
Ndio tatizo la kuamini sana wanasiasa..... Hakuajiandaa (hukujiandaa) kisaikolojia
 
Why between 10 or less Servant have discussed about Salary??
 
Ili kuongeza kipato chake, mwambie akakope benki. Wafanyakazi mna ajira kama security hivyo kama mshahara hauwezi kutimiza ndoto zako, bado unakuwa na nafasi ya kukopa na kutimiza baadhi ya ndoto...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…