joskill Member Apr 7, 2011 52 10 Sep 29, 2011 #1 wakuu naomba niulize, hivi tra kwa ngazi ya diploma mshahara wanalipa sh. ngapi?
C CHUAKACHARA JF-Expert Member Jun 3, 2011 12,358 6,422 Sep 29, 2011 #3 joskill said: wakuu naomba niulize, hivi tra kwa ngazi ya diploma mshahara wanalipa sh. ngapi? Click to expand... Bwana hawa ni wezi tu wana mishahara mikubwa kuliko hata wasomi wakubwa you can think of!!!! (sorry sijajibu swali )
joskill said: wakuu naomba niulize, hivi tra kwa ngazi ya diploma mshahara wanalipa sh. ngapi? Click to expand... Bwana hawa ni wezi tu wana mishahara mikubwa kuliko hata wasomi wakubwa you can think of!!!! (sorry sijajibu swali )
J joxin Member Aug 25, 2011 25 2 Sep 29, 2011 #4 Unakula kutokana na uref wa kamba na ujanja wako bongo hii