Mshahara ss 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mshahara ss 2

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Akiri, Jan 25, 2012.

 1. A

  Akiri JF-Expert Member

  #1
  Jan 25, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,453
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  wadau kuna sehemu nimeona tangazo la kazi na wanasema kiwango cha mshahara ni SS 2 . hizo ndiyo sh. ngapi? kwa anayefahamu tafadhari nieleweshe.
   
 2. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #2
  Jan 25, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Acha Roho Mbaya weka kwanza tangazo ili na wengine walione, au weka source ndipo upate majibu.
   
 3. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #3
  Jan 25, 2012
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  kweli mkuu!weka tangazo!au sema ni wapi!manake Jf ina member hadi serikalini huko!wewe sema ni shirika gani watu tutakumwagia bila fitna.
   
 4. v

  valid statement JF-Expert Member

  #4
  Jan 25, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 177
  Trophy Points: 160
  Watu wanataka tangazo ilo uloona iyo kazi mdau. Liweke hapa basi wadau walione!
   
 5. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #5
  Jan 25, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hukusoma vizuri, jamaa wanatafuta mtangazaji wa Supersport 2 (SS 2)!
   
 6. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #6
  Jan 25, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  inategemea ni sector gani (afya,madini..nk) mkuu, ila hiyo SS 2 ni ngazi kubwa sana ya mshahara kwa mfano katika sector ya afya rank huanza na A1...Ambayo ni 150,000 - 200,000...sasa ukija rank ya B" unapanda zaidi,katika sector ya afya sidhani kama kuna hiyo rank ya SS 2 na kama ipo sijui atalipwa sh.ngapi kwani mwenye TGSH L" anakula 2.5 - 3 Mil..
   
 7. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #7
  Jan 25, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  True that!
   
 8. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #8
  Jan 25, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 738
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  huyo ameona tangazo la kazi la TIRA. Kwa ngazi aliyoweka ni kazi ya record management assistant grade 2 au driver.
   
 9. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #9
  Jan 25, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,060
  Likes Received: 3,089
  Trophy Points: 280
  Kama hauelewi kwanini usiseme sijuhi alafu ukala kona?mara taja hiki mara kile mara una roho mbaya...cant believe this alafu huyu naye anajiita Gt

  Mkuu subiri watakuja wenye uelewa wa hiyo kitu na watakata kiu yako
   
 10. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #10
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Sema ni wapi ili iwe rahisi watu kukusaidia kwani siri ya nini mskaji au unadhan tutakuzibia? Hakuna atakayekusapoti kama unataja tu kifupi namna ile,acha hizo za kizamani
   
 11. A

  Akiri JF-Expert Member

  #11
  Jan 26, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,453
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  watu wenginge huwezi kumuelimisha m2 mpaka umshambulie roho mbaya ipi?
   
 12. A

  Akiri JF-Expert Member

  #12
  Jan 26, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,453
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  hujatulia
   
 13. A

  Akiri JF-Expert Member

  #13
  Jan 26, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,453
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  uko sahihi kabisa
   
 14. Bumpkin Billionare

  Bumpkin Billionare JF-Expert Member

  #14
  Jan 26, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 1,336
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  8,342 na haikatwi kodi
   
 15. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #15
  Jan 26, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,246
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Mi ntaongezeaga sh.3 kila mwezi ili itimie 8,345 kaaamil..
   
 16. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #16
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
Loading...