MKAMA SIMON
Member
- Oct 3, 2018
- 20
- 9
Sikiliza ndugu yangu, nikuelimishe kama mshahara ni siri serikali isingekuwa inatangaza kazi na kuweka ziwango vya mishahara mfano TGS ......,hata NGO halikadhalika wasingeweka viwango vyaoYani watu sijui mnakuwaje, mshahara ni pato la mtu, ushwahi kuona pato la mtu linakuwa published,
ACHENI UJINGA, MSHAHARA NI SIRI, WEWE KAMA UNATAKA KAZI NENDA HUKO HUKO UKISHINDWA SI UTAACHA?
UJINGA MTU KUULIZIA MSHAHARA KABLA HUJAINGIA HUKO
Sent using Jamii Forums mobile app