Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,583
Mkuu Mkoroshokigoli.
Ukweli hakuna pesa mtu anaweza pewa akaridhika, ni wakati walimu wakajitambua na kujitafutia njia mbadala za kuingiza kipato chao. Sawasawa na waajiriwa wengine wafanyavyo. Ukijifunga na ualimu 24/7 kulala hakutoisha kwani mshahara wa 480000 per month ukizingatia na hali ya maisha ilivyo hatutoki.
Walimu hawana posho ila sekta nyingine na ofisi za wizara wana posho. Kama huamini waulize?! Mara nyingi anayefanya biashara si mwl bora kwan muda mwingi anapaswa kuandaa somo!
Mkuu kwani wanafunzi ni walewale uelewa wao ni ulwule mazingira je nayo ni yaleyale hapana ualimu ni mchakato wa kila siku na mwalimu anatakiwa ajiandae daily hapo unaleta uzoefu uzoefu ndo kuharibu kazi hakuna uzoefu ktk ualimu lazima mwalimu ajifunze kila siku ndo mana mwalimu ni mwanafunzi. Ndo mana tunataka alipwe uoasavyo ili akili yake itulie kuwafunza watoto. Sasa walimu ni wafanya biashara hivyo akili yote ktk pesa ndo maana unaona haa matatizoKazi yoyote ni kujipanga mkuu, assume mwalimu anafundisha hisabati au physics au chemistry ambayo yote ni facts na mwalimu huyo huyo amedumu kwenye kazi kama 6 years au ameshafundisha intake kibao, unataka kuniambia kwamba kila siku atakuwa anafanya kazi ya kuandaa somo? au kuandaa somo ni issue kwake?unless kama amelazimishwa kwenda kusoma ualimu
Mkuu kwani wanafunzi ni walewale uelewa wao ni ulwule mazingira je nayo ni yaleyale hapana ualimu ni mchakato wa kila siku na mwalimu anatakiwa ajiandae daily hapo unaleta uzoefu uzoefu ndo kuharibu kazi hakuna uzoefu ktk ualimu lazima mwalimu ajifunze kila siku ndo mana mwalimu ni mwanafunzi. Ndo mana tunataka alipwe uoasavyo ili akili yake itulie kuwafunza watoto. Sasa walimu ni wafanya biashara hivyo akili yote ktk pesa ndo maana unaona haa matatizo
B1: 304,000/=
C1: 432,500/=
D1: 589,000/=
E1: 769,000/=
Walimu ni wito. Unachezea srkali!
B1: 304,000/=
C1: 432,500/=
D1: 589,000/=
E1: 769,000/=
Walimu ni wito. Unachezea srkali!
Assume,
baba mwalimu (Degree level), mama mwalimu (Diploma level) That means ni familia ya wasomi (kibongo bongo)
mama D1, baada ya kukatwa anabaki na 351,900/=
baba E1 baada ya kutatwa anabaki na 464,580/=
PATO LA MWEZI LA FAMILIA BAADA YA KODI : 816,480/=
Wamepanga,
wana watoto wawili,
wana dada wa nyumbani,
wanawasaidia wazazi,
inabidili wao na familia wale,
walipe kodi ya simu (2000 wote wawili) = 0.24% ya mapato yao,
usafiri,
umeme,
maji,
NA MENGINGE KIBAAAAAAAAAAO
NB:Kumbuka mwalimu haruhusiwi kufundisha tuition so chanzo kingine cha mapato ni ISHU.
Hivi watoto wakifeli mtawalaumu waalimu?
MAPATO YA TOZO ZA SIMU:
kama tozo ya 1000 ya kwenye simu ingekuwa inatumika kuongeza waalimu mshahara binafsi ningeridhika
Total amount itayokusanywa kwa mwaka ni 26,000,000,000/= (26 bil) according to TRA,
kwa mwezi ni 2,166,666,666/= roughly,
kama kila mwalimu akiongezewa 200,000 kwa mwezi waalimu 10,834 watanufaika.
Sina takwimu kamili ya kujua idadi ya waalimu tuliyonayo kwa sasa.
mawazo yangu tu.
kwani mkuu wewe ni pesa kiasi gani inakutosha kimaisha?? manake mtu kama mimi laki 5 inanitosha kuish kwa anasa kabis ana kila wk end nahudhuria vijiwe vya bia na home kids wanakula bata kila uchwao
Wanaanzisha ujasiamali mkuu, alafu hela za nje ya mshahara mkuu ukifanya kautafiti kidogo unaweza kukuta wachache wanazifanyia mambo mazuri kwani wengi kama alikuwa anakaa Bunju ataona ni wakati wa kuhamia Kijitonyama na kuchukua nyumba ya laki kadhaa kwa mwezi mwisho wa siku zikikata inakuwa kilio, lakini wale wanaotumia kile kidogo walichonacho kwa kuanzisha shughuli za kiuchumi hufika mbali
B1: 304,000/=
C1: 432,500/=
D1: 589,000/=
E1: 769,000/=
Walimu ni wito. Unachezea srkali!
Vipi kuhusu sisi askari polis I?