Simiyu Yetu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 18,949
- 4,645
Thanks a lot my beloved sister,........
Ualimu ni kazi ambayo najivunia nayo, kwani humtoa mtu from zero to hero.......
Sema hii serikali yetu ndio inayotuangusha mpenzi..
Ila kiujumla "Am Proud to be a Teacher"
mkuu hongera kwa kupenda ualimu kama mimi .
hata hivyo walimu tumetoka mbali ipo siku tutafika pazuri tu nakumbuka mishahara yetu ilivyokuwaje miaka ya 2000 na sasa tupo wapi.
Serikali na walimu tuachieni wenyewe huwa tunamalizana vizuri tu. GIGO if you know what I mean
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Maisha ni marahisi sana walimu. Hasa walimu tukijitambua. Kivipi?, kazi ya ualimu hasa kwa waajiliwa serikalini inalipa sana, kwakuwa unapata nafasi nzuri ya kujihusisha na biashara nyingine wakati huohuo ukiwa ni mwalimu. Kuna mambo mengi unaweza fanya na ukatoka mapema kimaisha kuliko kutegemea ualimu utakuchukua muda mrefu kutoka. Mfano kwa wale wanaofanya kazi mjini wanaweza fanya biashara kama kuanzisha duka la vyakula au vyovyote, biashara ya spea za magari,baiskeri au pikipiki. Wapi utapata mtaji mwalimu,ni rahisi sana kwa mwalimu kwakuwa kuna instituition kibao zinatoa mkopo wala haziitaji uwe na kitu cha kueka rehani zaidi ya ajira yako. Ama walioko vijijini kule pia biashara inaenda ila kubwa jiingize kwenye kilimo mbona mambo yatakuwa poa mapema tu!. Kuna walimu kibao wanaendesha gari, wananyumba nzuri mjini na vijijini. Ee bwana akili kumkichwa ualimu unalipa haina haja kushinda kulalamika mshahara kwani hata upewe millioni na nusu kwa mwezi haitoshi mambo ni mengi. Tusitegemee mshahara kamwe hatutoka kimaisha kwa kutegemea kazi ya ualimu. Hata wenzetu sekta nyingine wanafanya kazi ya moja.
Mshahara wa zamani ilikuwa ni Sh 740,890/=...........mshahara mpya ni Sh 945,600/= Mpaka 1,034,990/= (Hapa sasa areas yaani vile vipesa vinavyoweka kila mwezi wa 7 na serikali ndio vinahusika)
Mshahara wa zamani ilikuwa ni Sh 740,890/=...........mshahara mpya ni Sh 945,600/= Mpaka 1,034,990/= (Hapa sasa areas yaani vile vipesa vinavyoweka kila mwezi wa 7 na serikali ndio vinahusika)
mmeruhusiwa kutupiga na kutupora...maana nasikia mmechoka sasaVipi kuhusu sisi askari polis I?
Japokuwa mie ni mganga njaa naona si haba sana tatizo waalimu wengi huonewa sijui kwa kuwa wapo wengi pia wengi wamezoea kulalamika mpaka kazi ya ualimu inaonekana ya ajabu, kweli nimeamini confidence kwenye maisha inakusaidia kujibadili mwenyewe maana kuna sekata zingine unakuta mtu analipwa sawa na mwalimu na huyo mtu hana posho lakini ukimwona hana ulalamishi na maisha yanakwenda, information nzuri kama hizi unazotupa Madam B ni nzuri kuweza kuwashauri wadogo zetu. Kikubwa watu wajenge tabia ya kujiendeleza maana mtu anakaa kwenye Grade IIIA mpaka anakaribia kustaafu na hawa ndio wanaifanya kazi ya ualimu ionekane ya ajabu wakati ni kazi nzuri
Swali lingine la ufahamu, nakumbuka miaka ya 80 mwishoni mpaka mwanzoni kulikuwa na walimu wa daraja la IIIB hivi kwenye system bado wapo au wengi wao walishajiendeleza na kuwa daraja la IIIA
mdogo wangu Madame B mimi ni mwalimu na naupenda ualimu period.
najivunia kufundisha wanafunzi ambao wengine mm kama mm siwakuti kimaisha, najivunia kuona kwamba nimeweza kufanyika chachu ya mabadiliko ya maisha ya watu fulan. najivunia kuona kwamba wapo ambao leo hii watasema niliipenda phy ama chem ama bios kwasababu niliwafundisha ingawa wapo watakaosema hawakuipenda kwasababu nilikuwa mkali sna kwao.
Asante sana ndugu Jodoki Kalimilo kwa kuona umuhimu wa info zangu kuhusu hili suala la ualimu.
Unajua mkuu Ualimu kama ualimu umegawanyika katika nyanja nyingi tu, na karibu Ofisi zote huwa na waalimu ndani yake...........mwalimu si lazima mpaka ashike chaki kufundisha, la hasha....Ualimu ni kazi ya kitaaluma ambayo humtoa yule afundishwae na mwalimu kutoka kutojua chochote mpaka kufikia level ya ufahamu na kujielewa.
Ni lazima upitie course ili uweze kufuzu utaalamu fulani......hata kama huko nyuma ulihitimu mpaka Degree.
Hata yule anaekusaili ni Mwalimu vile vile........tofauti yake ni kwamba pale huwa hashiki chaki wala kitabu....bali husema na CV zako na muonekano wako.
Wengi wenye upeo mdogo huidharau kazi ya ualimu na kuifananisha na Daraja lipitishalo watu kuelekea sekta nyingine.......hatukatai, ndio ni lazima mimi nikupitishe wewe Ally kutoka side A kwenda side B, C, D.....an so on ili uweze kufaidika na matunda nikupayo kwa kazi yangu hii.
Ila kama ulivosema mkuu, Raha ya hii kazi ni kujiendeleza,.......na si hii tu bali kazi yoyote ni lazima ujiendeleze ili uweze kufika mbali.
Binafsi....I
Jodoki Kalimilo, mie ni mwalimu wa intake ya mwaka 2011, nanimekuta mfumo wa Draj IIIA......nadani Daraja la IIIB walikuwa wale wa enzi za UPE.
Asante.
Nakala kwa gfsonwin, snowhite, Evelyn Salt na Baba V.
mdogo wangu Madame B mimi ni mwalimu na naupenda ualimu period.
najivunia kufundisha wanafunzi ambao wengine mm kama mm siwakuti kimaisha, najivunia kuona kwamba nimeweza kufanyika chachu ya mabadiliko ya maisha ya watu fulan. najivunia kuona kwamba wapo ambao leo hii watasema niliipenda phy ama chem ama bios kwasababu niliwafundisha ingawa wapo watakaosema hawakuipenda kwasababu nilikuwa mkali sna kwao.
Hela nyingine nje ya Mshahara wanapataje sasa? KAMA KAZI NYINGINE?
Maneo mazuri hayo Madam B na gfsonwin maana kazi lazima uipende ndipo utaitendea haki kwani hizi kazi zote zinategemeana, wengi wanaokimbilia kazi flani flani kwa sababu zina maslahi mwisho wao si mzuri kwa kuwa mara nyingi wanalichokitegemea pindi wanasoma hukuta sicho hivyo kinachowatokea ni kuwa na matatizo ya kisaikolojia.
mimi naupenda ualimu si kwasababu sina kazi nyingiine ya kufanya la hasha ila ni mahali ambapo nafanya kazi kwa furaha zaid.Maneo mazuri hayo Madam B na gfsonwin maana kazi lazima uipende ndipo utaitendea haki kwani hizi kazi zote zinategemeana, wengi wanaokimbilia kazi flani flani kwa sababu zina maslahi mwisho wao si mzuri kwa kuwa mara nyingi wanalichokitegemea pindi wanasoma hukuta sicho hivyo kinachowatokea ni kuwa na matatizo ya kisaikolojia.
kwani mkuu wewe ni pesa kiasi gani inakutosha kimaisha?? manake mtu kama mimi laki 5 inanitosha kuish kwa anasa kabis ana kila wk end nahudhuria vijiwe vya bia na home kids wanakula bata kila uchwaoHela nyingine nje ya Mshahara wanapataje sasa? KAMA KAZI NYINGINE?
mdogo wangu eee usipate shida bibie...............Hapo kwa red sasa, ndipo pale wale wenye upeo mdogo wanapouita Ualimu ni Daraja.
Kwamba namfundisha then baadae anakuja kuwa na kipato kikubwa kuliko mimi.
Lakini all in all...........huo ni wajibu wangu mimi kwako, hata angesemaje.
mimi naupenda ualimu si kwasababu sina kazi nyingiine ya kufanya la hasha ila ni mahali ambapo nafanya kazi kwa furaha zaid.
kwani mkuu wewe ni pesa kiasi gani inakutosha kimaisha?? manake mtu kama mimi laki 5 inanitosha kuish kwa anasa kabis ana kila wk end nahudhuria vijiwe vya bia na home kids wanakula bata kila uchwao
mdogo wangu eee usipate shida bibie...............
binafsi sioni tabu mwanafunzi wangu akinizid kimaisha la naona fahari manake isingekuwa mimi basi pengine asingalikuwa hapo alipo.
nakupa story ya ukweli kuna siku nilienda Muhimbii hosp kumpeleka mwanangualikuwa anaumwa mguu. Dakttari nilyemkuta ni specialist wa mifupa ya mtoto ni mwanafunzi wangu niliyemfundishaga galanos miaka ilee ya zamani wakati naaza kazi.
sikuwa namkumbuka ila yeye aliponiona alinikumbuka. basi alipigwa na butwaa sana akaniulaiza samahan mama hivi ewe umewah kufundisha galanos nikamjibu ndio akanitajia jina na somo nililomfundisha akiwa A level. dahh........................ yaani mimi hata kumkumbuka sikumkumbuka as ni ngumu kukariri wanafunzi wote lkn alinisaidia sana kwa moyo wa upendo hadi mtoto akafanyiwa upasuaji wa mguu. imagine huyu nilimfundisha A level leo hii amekuwa msaada kwangu amesoma digree mbili mim bado na mbwelambwela na moja lkn kanisaidia na anaona fahari kuwaambia wenzie huyu alikuwa mwl wangu na ananiitaga mwl mpaka wa leo. kwangu mimi hii ni sifa tosha.