Mshahara mpya wa walimu, serikalini:

Mshahara mpya wa walimu, serikalini:

Pmaji

Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
34
Reaction score
2
B1: 304,000/=
C1: 432,500/=
D1: 589,000/=
E1: 769,000/=
Walimu ni wito. Unachezea srkali!
 
B1: 304,000/=
C1: 432,500/=
D1: 589,000/=
E1: 769,000/=
Walimu ni wito. Unachezea srkali!

Pmaji mbona sioni A1, naomba pia kufahamishwa hao B1, C1, D1, E1 na hata A1 au F1, kama zipo ndo walimu wenye elimu gani? mimi mgeni hapo.
 
Walimu wa certificate wanaanza na mshahara ngazi ya tgts B1, diploma C1, degree D1.
 
....Changanya na za kwako!wanaanza kujindaa kuomba kura za walimu mwakani za sekta ya afya!
 
Kwa E1 mwaka wa fedha 2012/13 ilikuwa Tsh 720,000/= hvyo utaona ni kiasi gani kimeongezwa.
 
Serikali na walimu tuachieni wenyewe huwa tunamalizana vizuri tu. GIGO if you know what I mean

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Walimu wa certificate wanaanza na mshahara ngazi ya tgts B1, diploma C1, degree D1.

Degree anaanza D1

Acha kudanganya watu wewe Pmaji.
Ngazi ya mshahara wa mwalimu mwenye cheti cha Ualimu Drj IIIA unaanza na TGTS B1, B2 mpaka B10, vivo hivo kwa C, D, na -E10 ambayo E ndio Bar ya mwalimu mwenye ngazi ya cheti ambaye ana haki zote za kufundisha shule ya msingi (akifika hapa kwenye Bar hawezi kwenda F1 mpaka akachukue Diploma ya Ualimu) Kuanzia FI na kuendelea huko mbele ndio Ngazi ya Diploma (kwa Sekondari), Degree, ambapo hapa mwalimu anaweza akawa Afsa Elimu mkaguzi, msaidizi, Mkaguzi mkuu au Afsa Taaluma au cheo chochote chenye ngazi ya Degree, japo ofisi zetu hizi za akina mjomba, hata kama una cheti cha daraja la IIIA (S/Msingi) na ukitaka kuwa Afsa utakuwa Chezea utamu wa Ndugu.

Taarifa hii ni kabla ya waliofika Bar E10 kurukishwa na kupelekwa F1
 
Last edited by a moderator:
vp kuna ukweri kuhusu walimu kupandishwa madaraja automatically? Msaada mwenye kujua

Kuna baadhi ya walimu wameshapata Barua za Kupandishwa Madaraja.
Ila sasa hapa ndipo kwenye utata:....Wale ambao walikuwa wanapata mapunjo, hawajatumiwa barua lakini kwa wale waliobahatika kupata mshahara kamili, ndio walioletewa barua.
Hivo endelea kuvumilia mpaka Tarehe 20, ukiona hakuna barua inayokuja kwako toka Manispaa..........hapo ndipo uandike barua ya maombi ya kuomba kupandishwa daraja kwa maana ni stahiki yako mkuu Buka Crouch Juniour
 
Last edited by a moderator:
F1 ni sh ngp?

Mshahara wa zamani ilikuwa ni Sh 740,890/=...........mshahara mpya ni Sh 945,600/= Mpaka 1,034,990/= (Hapa sasa areas yaani vile vipesa vinavyoweka kila mwezi wa 7 na serikali ndio vinahusika)
 
Back
Top Bottom