Kaka inaonesha wewe sio mzoefu na upandaji wa mishahara serikalini Tanzania... Maana ndio kwanza wataka hata kupanga budget. Ongeza kati ya 35,000 hadi 90,000 kwenye budget yako ya sasa...
Bora kujiajiri kuliko kuajiriwa bongo.
Mishahara ya sisi kk huwa inaishia siku ya tano ( 5 ) toka upatiwe.na baada ya hapo unaanza vizinga vya kufamtu.kama hapa nilipo nafikiria hela ya kula kesho nita ipataje .
Bongo noma sana.