Mshahara Laki 7 unavaa Tai hadi shingoni

Watumishi wengi wa serikali/tafasiri mbalimbali maringo ni mengi na viburi vipo juu, nyuma ya pazia Maisha ni magumu. Akili zao zina giza kizito, wangewahudumia vizuri wanaowajia wangependwa na kupata faida nyingi.
 
Bloo,hata tungelipwa "laki unusu kasarobo",mwendo ni uleule.Hatucheki na wowote.Sura mbuzi,kazi kazi tu na tai lazima inigwe shingoni.
 
Naudediketi mchambo huu kwa wafanyakazi wa NIDA po pote walipo Tanzania. Wajinga sana wale watu. Utafikiri wana kazi inayohitaji IQ kubwa kumbe kazi yenyewe kimsingi ni kugawa vitambulisho tu. Grossly incompetent shitty nincompoops!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…