Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 996
Wakuu,
Swali hili huwa linanisumbuwa kupata jibu lake. Mwajiri anakuambia tumekubali maombi yako ya kazi lakini tungependa kusikia kutoka kwako ungependa au unatarajia tutakuwa tunakulipa shilingi ngapi?. Lipi ni jibu sahihi kwa swali kama hili?.
Karibuni tujadili.