bereng
Senior Member
- Feb 5, 2013
- 114
- 21
Habari wana JF,
Ukiangalia idadi ya watu waliofanikiwa ni kubwa kuliko wale ambao hawajafanikiwa. Unafikiri sababu ni nini? Kuna mtaalamu mmoja alikuwa anaelezea neno POOR kama Pass Over Opportunity Repeatedly. Inawezekana kwa kiasi kikubwa sana watu tunalalamika umaskini lakini kumbe kuna fursa tunazokutana nazo aidha tunazembea au kukata tamaa au pengine kukatishwa tamaa.
Lakini nakwambia leo hii kuna watu wanatengeneza pesa nyingi sana kupitia fursa ya biashara ya mtandao. Mtu yeyote yule mimi naamini anaweza kufanya vizuri sana katika biashara hii. hasa sisi watanzania kwani tunajua kujieleza au kuuza habari. Hapa kuna watu tanzania hii wanatengeneza zaidi ya milioni 30 kwa mwezi. biashara ambayo mtu anaweza kuifanya kwa urahisi endapo atapata angalau masaa 10 tu kwa wiki. au masaa 2 kwa siku yanatosha sana.
Kama kuna anayehitaji kujifunza kuhusu biashara ya mtandoa {network marketing} anaweza kunitumia email then ntamweleza kwa kina na jinsi gani ya kuweza kutengeneza kipato kikubwa kisicho na kikomo endapo atajibidisha. ni fursa ya kuufanya umaskini historia.
Inaweza kuwa vizuri zaidi endapo utanitumia namba ili nikupigie tupange jinsi tunavyoweza kushirikishana katika mchakato huu. email ni samidaenterprises@yahoo.com.