Anthony Threedeyea
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 471
- 47
week iliyopita form za kujiunga polisi kidato cha sita zililetwa...naomba kuuliza hivi ukimaliza mshahara ni bei gan????samahani lakini
week iliyopita form za kujiunga porisi kidato cha sita zililetwa...naomba kuuliza hivi ukimaliza mshahara ni bei gan????
samahani lakini
Mimi niliacha jeshi nikiwa nalipwa shs 7,250 wakati huo na matumizi yangu yalikuwa shs 35,000 ikabidi nisepe..

Mwaka gani?
Force number?
Uliacha kisheria?
Kama hukuacha kisheria unatakiwa ukamatwe na urudishwe jeshini haraka sana.
Hahahaha,
Mkuu mimi niliacha kisheria na kwa sheria za jeshi la polisi mimi nina powers of arrest kama za polisi wengine.
Ukileta za kuleta nakuweka kizuizini bila kuchelewa.
Niliacha mwaka 1995 siku ile Nyerere alipohutubia Mbeya na niliacha baada ya hotuba yake pale uwanja wa sokoine.
Namba yangu siwezi kukupa usije ukaitumia kutapelia watu.
Kila nikiwa Bongo ni lazima niende makao makuu ya polisi kusalimia rafiki zangu wengi ambao sasa ni wakubwa sana, kwa hiyo hata mimi ningevumilia ningekuwa mkuu wa kitengo cha kudhibiti mikutano isiyo na vibali na mihadhara ya kichochezi...
Nadhani umenielewa.
week iliyopita form za kujiunga porisi kidato cha sita zililetwa...naomba kuuliza hivi ukimaliza mshahara ni bei gan????
samahani lakini
Hahahaha,
Mkuu mimi niliacha kisheria na kwa sheria za jeshi la polisi mimi nina powers of arrest kama za polisi wengine.
Ukileta za kuleta nakuweka kizuizini bila kuchelewa.
Niliacha mwaka 1995 siku ile Nyerere alipohutubia Mbeya na niliacha baada ya hotuba yake pale uwanja wa sokoine.
Namba yangu siwezi kukupa usije ukaitumia kutapelia watu.
Kila nikiwa Bongo ni lazima niende makao makuu ya polisi kusalimia rafiki zangu wengi ambao sasa ni wakubwa sana, kwa hiyo hata mimi ningevumilia ningekuwa mkuu wa kitengo cha kudhibiti mikutano isiyo na vibali na mihadhara ya kichochezi...
Nadhani umenielewa.
Mkuu kwa level yangu lazima ningekuwa RPC au mkuu wa upelelezi Arusha.hahahahaha poti vipi mshahara wa sasa ni mkubwa posho mbalimbali na tayari ungekuwa RPC wa Arusha au Kili