Mshahara huu tutafika kwel?

TUTEER

Senior Member
Joined
Nov 6, 2013
Posts
161
Reaction score
33
Mshahara wa mhasibu wa hotel ni sh ngapi kwa wenye degree ya uhasibu?
 
anza na mshahara mdogo upande pole pole mkuu ... ni laki 3
 
Mshahara wa mhasibu wa hotel ni sh ngapi kwa wenye degree ya uhasibu?

mkuu mshahara haukuwi fixed! it depends with your bargaining power with your employer!
 
mhasibu wa hotel?,fafanua usaidiwe,hotel gani?,wapi?........mkataba wa kazi upoje? ni temporaly?.....any way nijuavyo mimi private sector mishahara haipo fixed
 
Ni kweli nyie wafanyakaz inawezekana mnalipwa mishahara kidogo.

Tatizo ambalo huwa najiuliza ni je hata hicho kidogo mnachopewa huwa mnakitolea jasho la kweli au ndo kufka maofcn mnasaini kisha mnaanza soga?

Mfano mdogo nauchukulia kwa mwalimu anayekula laki 3 alafu kuna mitoto kibao inamaliza darasa la saba hata haijui kuandka majina yao.

Sasa mfanyakazi wa hivo nikimkuta analalamikia udogo wa mshahara natamani hata nimtemee mate usoni.

Nendo hospitali kuna watu wanakula hadi milion na ushee lakini angalia utendaji wao had kichefchef na bado wako busy kuomba nyongeza za mishahara...

Utendaji wa watumishi wengi karibu sekta zote kuanzia ikulu kwa mkulu hauakisi mishahara yao.
Kazi kidogo mishahara mikubwa... natamani hata ingepunguzwa.

Bravo wajasiliamali na wafanyabiashara msiopenda kupoteza muda kwenye shughuli zenu za ujasiliamali.
 

acha porojo wewe kama haujui kitu nyamaza mnajifanya mnajua viwango vya mishahara kumbe hamjui mpo kudanganyana tu hospital gani watumishi wanakuchukua mishahara milioni

black f***l.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…