Naskia wakiweka tu kwenye ac then bank waki debit chaji zao unabaki empty!
3,890,450
kwa mwaka au kwa mwezi?
Ahsanteni wakuu, kuku wa kienyeji hiyo gross ya 400,000 ilikuwa mwaka gani?
Mkuu nyantuzu si muda wote member wanakuwa jukwaani kwa hiyo kama unamuhitaji kuku wa kienyeji you either quote or mention him/her by putting @ before his id.He/she will no doubt get informed and come to respond to your woes. Si unaona kama nilivyokumention wewe? au siyo nyantuzu
Ahsanteni wakuu, kuku wa kienyeji hiyo gross ya 400,000 ilikuwa mwaka gani?
2012 mwishoni
hvi kumbe bank ya posta na shirika la posta mishahara yao iko sawa kwa graduates?
sidhani
kwa 2012 zilikuwa zinakidhi. huna mke huna mtoto huna experience unataka milioni za nini?Duh!!kumbe mbwembwe zote na tai zenu mnakula laki 4tu!!
hana ndugu wa kusaidia,au umezisahau familia zetu za kiafrika?
3,890,450
maana shirika la posta nalo by 2012,walikua wanatoa gross ya 400k.