huyu manager mtarajiwa kama kusema 'so' tu kunamshinda anasema 'xo', ataiweza kaz kweli? boss hebu pitia CV yake vizur asijekua anatokea call me J, halaf kama ni jinsia me akisema 'xo' ndo huwa nashangaa kuliko maelezo. No hard feelings.........
Kama ni Pub kubwa Kama kez mshahara ni kuanzia laki moja! Counter laki na nusu, zingatia sare .unifom ziwe nzuri,.!!!temboni sehem gani nikuletee wadada wawili. Kaunta mmoja na service mmoja