nemulo
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,589
- 441
position gani? maana mm nimewakimbia hao juz juz tu..
Kwa mtu wa IT au niseme kitengo cha IT kwny Database etc

Hukosa hesabu za makadilio nini. Kilichopo kichache sana ni sawasawa na hamna
Kwa mtu wa IT au niseme kitengo cha IT kwny Database etc
Kwa Upande wa IT sina experience napo ila wazinguaji tu hao jamaa! kama experience nenda kapige nao,
position gani? maana mm nimewakimbia hao juz juz tu..
bank officer/teller