Mshahara Akiba Commercial Bank

Mshahara Akiba Commercial Bank

kuna mtu anafanya kazi mwaka wa tatu as taller sasa anapokea 460000 basic salary plus 35000 kila weekend ,no overtime
 
Basic 450,000/= then every sunday kwa baadhi ya branches wanaofungua tellers wanapata allowance ya 20,000/= coz cyo branches zote wanafungua juma pili:
Nafahamu coz nimiezi 2 now toka niondoke hapo
 
Kwa macho yako unaona inamlipa. Lakini sio hivyo, gharama za kufanya kampeeni ni kubwa sana....ukifanya cost benefit analysis, utamkuta bado analipa madeni
Kwani unadhani vigogo wa chama cha mafisadi wanafanya kampeni kutokana na pesa yao?

La hasha, pesa zote za kufanyia kampeni wanapewa na wafanyibiashara wakubwa.

Kinachotokea wanasiasa hao, wanakuja kuzilipa pesa hizo indirect.

Unaweza kuuliza wanazilipaje?

Ngoja nikupe jibu. Si huwa tunasikia namna wafanyibiashara wakubwa, ambavyo wanasamehewa kodi ya zaidi ya shilingi trilioni 1 kila mwaka na mamlaka zinazohusika na kusamehe kodi?

Hivi unawezaje kuulezea msamaha huo wa kodii wa kutisha wa zaidi ya shilingi trilioni 1 kila mwaka, kama hiyo sio kulipa indirect pesa 'walizokopeshwa' wakati wa kampeni?!
 
Kwa macho yako unaona inamlipa. Lakini sio hivyo, gharama za kufanya kampeeni ni kubwa sana....ukifanya cost benefit analysis, utamkuta bado analipa madeni

wrong, do not be overwhelmed by the glowing frenzy about entrepreneurship, self employment and businesses because the advocates of employment are lacking courage and wisdom to propagate why employment is richer than other endeavors.
 
Back
Top Bottom