mseto aka ALU feki madukani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mseto aka ALU feki madukani

Discussion in 'JF Doctor' started by smallvile, Oct 31, 2012.

 1. smallvile

  smallvile JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2012
  Joined: Sep 12, 2012
  Messages: 497
  Likes Received: 171
  Trophy Points: 60
  jana katika hali isiyo ya kawaida wapelelezi kutoka shirika la madawa na chakula TFDA wamepembua pharmacy mbalimbali hapa mjini MOROGORO dhima hasa ikiwa ni kucheki hali ya dawa ya mseto, na mazingira ya uuzaji dawa kwa ujumla
  dawa hizo, mseto especially zile za vidonge viwil na vitatu ambazo zinatengenezwa mumbai walizichukua wapelelezi hao, kwa malipo halali ya mauzo kwa utafiti zaidi.
  japo wauzaji wengi wa madawa walifunga maduka yao kuhofia purukushani na wapelelezi/watafiti hao, dhima hasa ya utafiti huo kwa mtazamo wangu haitakua nzuri maana wauzaji wanawaogopa watafiti hawa na hivo sample walizopata ni ndogo na zinaweza zisiwe representativie kama inavotegemewa katika tafiti
  ushauri kwa TFDA
  baada ya kufanya mahojiano na baadhi ya wauzaji wa madawa walishauri uboreshwe uhusiano uliopa baina ya TFDA na wahudumu hao watoa dawa
  pia TFDA wawe wanapitia kwanza au kutoa taarifa kwa chama chao walichokianzisha ili wawe na taarifa za ujio wa wageni wowote katika ofice zao
  wapewe semina endelevu kuhusu matumizi ya dawa/brush up coz ili waweze kutoa huduma nzuri
  muda wa kazi katika hospitali na vituo vya kupima malaria uanze mapema maana watoto na wengine wanapimwa au kuonekana kwamba wana malaria mida migumu kuanza dawa kwani ilitegemewa kwa mujibu wa matumizi ya ALU kwamba wagonjwa watakua wamemwona mhudumu wa afya mapema asubuhi ili kwamba kale kautaratibu ka first dose n second dose katofautiane kwa masaa 8 kaeleweke, pia third dose iwe 24 th hr after the first dose ili therapeutic range isiharibiwe kwa matumizi yasio sahihi ya dawa
   
Loading...