"Mwanaume pesa sura tutavumiliana"! Hahaaaaaa
Mmmh kuna sura zingine jamani zinatisha
Hahahahaha ulijuajeKama ya kwako?
Kuna mtu huku moro ,anaitwa mkosasura na mwingine anaitwa kichwa cha nyoka A.k.A Athuman sura bovu.
Hahaha sura ka uduvi
Jamani nifahamisheni sijui maana ya uduvi
"Mwanaume pesa sura tutavumiliana"! Hahaaaaaa