Msemakweli in mpenzi wa Mungu walah

Kabebeshwa kwa lazima aisee
 
Kabebeshwa kwa lazima aisee
itakuwa abiria wamemuona wakambutua naona damu hawa ni wale wanaotubugudhi kwenye madaladala kujifanya wamebeba bahasha wanaenda ofisini kumbe ni vibaka asubuhi mpaka asubuhi unamkuta kituoni
 
huyu si msema kweli, hakufanya hivyo kwa ridhaa yake, hapo ni polisi si unaona damu kwenye t shirt, lakini maadili ya askari wtu ndo hivyo tena wameileta tna huku, lakini yawezekana mleta uzi ni askari mwenyewe
 
Jamaa kaonyesha cheti chake! Bado cha bashite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…