Msemaji wa Serikali: Rais Magufuli hakukataa kuongeza mishahara ya watumishi wa umma bali posho za Madiwani

Najaribu kuunganisha dots hapa, Msajili wa Vyama vya siasa ametoa press release kukana habari ilioandikwa kwenye gazeti la Mwananchi la leo, kuhusiana na muswaada wa vyama vya siasa, na simultaneously Mfungiaji Magazeti wa Serikali nae ametoa tangazo la kuonana na waandishi saa 7.. Naliwazia gazeti Mwananchi hapa.. Wenyewe wanajua wanatafutwa..

Mungu saidia tu isiwe hivyo..
 
Msemaji wa serikali kupitia ukurasa wake twitter amesema atakuwa na mkutano na waandishi wa habari leo mida ya saa saba mchana katika ukumbi wa Maelezo.

Tutarajie nini katika mkutano huu?
View attachment 608334

stay tunned

Nani tena kaingia kwenye 18 zake? Maana jamaa kila akijitokeza ujue kuna mtu anakula za uso, au wameshaona kale ka waraka kama waziri wa masuala ya mitandao wa Zimbabwe?
 
Najaribu kuunganisha dots hapa, Msajili wa Vyama vya siasa ametoa press release kukana habari ilioandikwa kwenye gazeti la Mwananchi la leo, kuhusiana na muswaada wa vyama vya siasa, na simultaneously Mfungiaji Magazeti wa Serikali nae ametoa tangazo la kuonana na waandishi saa 7.. Naliwazia gazeti Mwananchi hapa.. Wenyewe wanajua wanatafutwa..

Mungu saidia tu isiwe hivyo..
kabisa mkuu ni kweli
 
Nani tena kaingia kwenye 18 zake? Maana jamaa kila akijitokeza ujue kuna mtu anakula za uso, au wameshaona kale ka waraka kama waziri wa masuala ya mitandao wa Zimbabwe?
kuna habari kichwa cha habari mwananchi waliandika MAGUFULI AMBEBA TENA MAKONDA na hili la habari ya mabadiliko ya sheria ya vyama vya siasa nadhani zinaweza kuwa sababu ya kufungiwa
 
Wale waliofoji umri wajifukuzishe kazi rasmi kabla ya kushitakiwa, hamna jingine,, ccm bhana
 
Atakua anakuja kutolea tamko kauli ya muwekezaji Dangote, maana imewavuruga serikali kweli kweli
 
Hawa tayari wameshatua eneo la tukio na vifaa vyao tayari kwa mubashara!
 
Attachments

  • IMG_20171013_121928_867.JPG
    IMG_20171013_121928_867.JPG
    20.7 KB · Views: 31
Back
Top Bottom