Msemaji wa kundi la Waasi wa Rwanda, Meja Callixte Sankara akamatwa

Utakuwa unainamishwa na kagame wewe sio bure maana unavyopenda kujipendekeza kwa mwanaume mwenzio lazima utakuwa msenge wake

Invisible , Paw na Moderator haya Kazi Kwenu nimewapeni Ushahidi Kuntu na Tosha kabisa wa Matusi ya huyu Member dhidi yangu hivyo naamini Haki itatendeka kama vile ambavyo na huwa mnaitenda Kwangu pale nikikengeuka / nikikosea na mnanipa BAN ya haraka sana.
 
Na sasa tunamaliza ' Mchoro ' wetu wa ' Kimafia ' kabisa wa Kumaliza Kazi kwa ' Mpuuzi ' mwingine ( Adui wa Rwanda ) ambaye anaishi Uhamishoni nchini Afrika Kusini huku akisaidiwa ' Kimbinu ' na Rais mmoja hivi wa Afrika Mashariki sasa ni Mstaafu katika Mji wa Mahakama ya Mananasi na ' Wapuuzi ' wengine wachache wa hiyo hiyo nchi akiwemo na aliyekuwa Waziri mmoja wa Kusafiri sana mwenye ' Bifu ; na Rais aliyepo sasa huko.

Nawasilisha.

We jamaa! Banyamulenge lini mmepata akili? Huku mlichinjana kama kuku? Akili zenu zipo wapi?
 
Mayotte ni sehemu ya ufaransa , je France wamebariki hii kitu ya kukamatwa huyu jamaa ? Kirahisi hivyo ?
 
Mliokuwa mkinidhihaki naomba endeleeni Kunidhihaki ila huwa sibahatishi nikisema Jambo hapa na nilisema kuwa ndani ya Siku 90 tu ' Mpuuzi ' Sankara ambaye alikuwa haijui vyema nchi ya Rwanda na Serikali ya Rais wangu Kagame atakamatwa na tayari ameshakamatwa.

Sasa ndiyo atajua kwanini GENTAMYCINE ni Mnyarwanda na kwanini Rwanda ni Israel ya Afrika na kwanini Wanyarwanda ndiyo Raia wenye Akili Afrika nzima. Na kitakachompata huko aliko sasa atakuja Kuwahadithia ' Wapumbavu ' wengine wote wanaodhani kuwa nchi ya Rwanda ni ya Kuchezewa kama zingine.

Mmeshajiuliza Yule Dada Diana Rwigera kwanini sasa hivi amekuwa Mpole na mwenye Adabu zote tokea alipotoka ' Lupango ' akiwa na Mama yake hadi hivi akiwa hataki kabisa mambo ya Siasa? Hii ndiyo Rwanda na Sisi ndiyo Wanyarwanda ambao hatushindwi Kitu kama tukiamua.

Na sasa tunamaliza ' Mchoro ' wetu wa ' Kimafia ' kabisa wa Kumaliza Kazi kwa ' Mpuuzi ' mwingine ( Adui wa Rwanda ) ambaye anaishi Uhamishoni nchini Afrika Kusini huku akisaidiwa ' Kimbinu ' na Rais mmoja hivi wa Afrika Mashariki sasa ni Mstaafu katika Mji wa Mahakama ya Mananasi na ' Wapuuzi ' wengine wachache wa hiyo hiyo nchi akiwemo na aliyekuwa Waziri mmoja wa Kusafiri sana mwenye ' Bifu ; na Rais aliyepo sasa huko.

Huyu nae akipona mwaka huu basi aende akachinje Kondoo kwani wale ' Wanafiki ' wote wa Rwanda na wanaotumika na Watu wenye ' Chuki ' za Makusudi na Taifa zuri na lililobarikiwa la Rwanda lazima waondoke ' Kimafia '. Na hili liwe Fundisho Kubwa kwa Raia wa nchi moja hivi Jirani ambayo ina Umri mkubwa lakini bado Masikini kwamba Rwanda ni zaidi ya waijuavyo na Wao wakae chonjo kabisa kwani nchi yao Kwetu ipo Uchi kabisa na tunaijua in and out na wakicheza sasa hivi itakuwa Mali ya Rwanda.

Nawasilisha.
Uko rwanda au tz maanake unatutia threat wabongo
 
KUmbe rwanda nayo ni nchi. ahahahhaha. Mi naonaga kama ni ka jimbo ka TZ. Mkuu rwanda ina mikoa mingapi?
 
Niliwambia watu hapa jfkua huyo dogo anaejiita Mojor sio lolote na hapigani vita yoyote popote hapa duniani.
 
What's end of this people? Uingiapo ndivyo utakapotoka,!!! Anyone who can bring back story of Sankara & PK! Pls
 
Msemaji wa kundi la waasi wa Rwanda major Callixte Sankara aliedai vikosi vyake kuteka baadhi ya maeneo ya Rwanda hivi karibuni amekamatwa.

View attachment 1084840

Sankara ambae amekua maarufu kwenye social media alikamatwa mji wa mayote visiwa vya comoro na watu wa usalama kutoka Kigali na kupeletwa kwa ndege maalumu iliyotumwa na Rwanda kumrejesha nchini humo.

Leo waziri wa mambo ya nje wa Rwanda akiongea na waandishi wa habari amethibitisha kukamatwa kwa Sankara na atapelekwa mahakamani kujibu mashitaka hivi karibuni.

Akiongea na waandishi wa habari hivi karibuni Raisi wa Rwanda Paul kagame alikanusha kuwepo kwa kundi la waasi kwenye ardhi ya Rwanda.

Sankara amekua akieneza propaganda za kuivamia Rwanda na kudai kukamata baadhi ya maeneo.

Watamgawana huyo
 
Back
Top Bottom