Msemaji wa kundi la Waasi wa Rwanda, Meja Callixte Sankara akamatwa

veca

Member
Apr 7, 2019
49
50
Msemaji wa kundi la waasi wa Rwanda major Callixte Sankara aliedai vikosi vyake kuteka baadhi ya maeneo ya Rwanda hivi karibuni amekamatwa.

images (95).jpeg


Sankara ambae amekua maarufu kwenye social media alikamatwa mji wa mayote visiwa vya comoro na watu wa usalama kutoka Kigali na kupeletwa kwa ndege maalumu iliyotumwa na Rwanda kumrejesha nchini humo.

Leo waziri wa mambo ya nje wa Rwanda akiongea na waandishi wa habari amethibitisha kukamatwa kwa Sankara na atapelekwa mahakamani kujibu mashitaka hivi karibuni.

Akiongea na waandishi wa habari hivi karibuni Raisi wa Rwanda Paul kagame alikanusha kuwepo kwa kundi la waasi kwenye ardhi ya Rwanda.

Sankara amekua akieneza propaganda za kuivamia Rwanda na kudai kukamata baadhi ya maeneo.
 
Callixte Nsabimana ‘Sankara’ In Rwanda, To Be Tried Soon – Sezibera

Self proclaimed Major Callixte Nsabimana alias Sankara who claimed to be the leader of the so called National Forces for Liberation(FLN) of Rwanda, was arrested a couple of weeks ago, and will be brought before court soon, Richard Sezibera, Rwanda’s Minister of Foreign Affairs has confirmed.

News of the arrest of this man who claimed to have seized a part of Nyungwe National Park were spread two weeks ago, but the media did not have confirmation.

News has it that Sankara was arrested in Comoros and extradited to Rwanda.

In a statement this morning, the Rwanda Investigation Bureau(RIB) said they have “detained NSABIMANA Callixte a.k.a Sankara, while processing his criminal case file. Nsabimana has been wanted over several offences committed on Rwandan territory.”

The offences, according to RIB, include: Formation of an irregular armed group; Complicity in committing terrorist acts; Conspiracy and incitement to commit terrorist acts; Taking persons hostage; Murder; and Looting.

“Nsabimana’s case file will be submitted to the National Public Prosecution Authority in accordance with Rwandan criminal procedure law,” RIB statements said.

In a meeting this morning with diplomats attached to Rwanda, Min. Sezibera who doubles as government spokesperson appealed to diplomats to engage their governments to help bring Rwandan dissidents to justice. Names he mentioned include David Himbara and Charlotte Mukankusi from Canada. The latter was last month received by President Yoweli Museveni of Uganda.

in Uganda, Mukankusi was on mission of Rwanda National Congress(RNC) of the renegade General Kayumba Nyamwasa from South Africa, also in this list of wanted.

Museveni, in a letter, confirmed having met Mukankusi.

Other people Rwanda wants extradited include Paul Rusesabagina who lives in Belgium and sometimes in the US and Ntikina from France.


In the meantime, Nyungwe, like all other parts of Rwandan territory are intact and peaceful. Early April, the Media asked President Paul Kagame about Sankara’s claim that he is controlling part of a Rwandan territory, and the president responded; “He does not know what he is talking about.”


Ktpress.rw
 
Hahahaha, nasubiri waje kumtetea hapa ,kuna MTU tulimuuliza kabakisha km ngapi kuingia Kigali ,wakadai mie na wewe ni ID moja,hahahaha
Mzee baba walikua wanasema humu jf huyo dogo ameteka barabara ya kuelekea Kigali hahah nikawaambia mnapa siku ngapi atakua amekamata nchi,naona 'wakarara mbere kwa mbere'.

Eti Muongoza mapinduzi anaenda kujifichia huko Comoro mara Eritrea
 
Hahah una kumbukumbu sana mkuu.

Shida wajomba humu ni wabishi balaa,subiri wakija humu hawachelewi kukwambia amejikamatisha ili akatafute support ya wafungwa huko magerezani ili wakuze kundi lao la waasi,hahah.

Ila dogo cha moto atakipata,ye alikua anatumiwa na wakina Nyamwasa na rusasegina lkn wenzake wajanja hawatoki nje ya confort zone ila dogo alijisahau sana.

Mpk akawa ana ji-record(ana edit sauti kwa kuweka sounds effects za milio ya makombora/mizinga etc) eti yuko mstari wa mbele kwny mapambano wanakaribia kukamata nchi huku anatuma mitandaoni jamaa wa kitengo cha PK waitwao(DMI) wana-analyse sauti hizo wana compare na mawasiliano ya simu wanayoyanasa kumhusu dogo wakiweka na mbinu zao nyingine wakainamisha mtungi,chapchap akatoka mtungini.
Hahahaha, nasubiri waje kumtetea hapa ,kuna MTU tulimuuliza kabakisha km ngapi kuingia Kigali ,wakadai mie na wewe ni ID moja,hahahaha
 
Hahah una kumbukumbu sana mkuu.

Shida wajomba humu ni wabishi balaa,subiri wakija humu hawachelewi kukwambia amejikamatisha ili akatafute support ya wafungwa huko magerezani ili wakuze kundi lao la waasi,hahah.

Ila dogo cha moto atakipata,ye alikua anatumiwa na wakina Nyamwasa na rusasegina lkn wenzake wajanja hawatoki nje ya confort zone ila dogo alijisahau sana.

Mpk akawa ana ji-record(ana edit sauti kwa kuweka sounds effects za milio ya makombora/mizinga etc) eti yuko mstari wa mbele kwny mapambano wanakaribia kukamata nchi huku anatuma mitandaoni jamaa wa kitengo cha PK waitwao(DMI) wana-analyse sauti hizo wana compare na mawasiliano ya simu wanayoyanasa kumhusu dogo wakiweka na mbinu zao nyingine wakainamisha mtungi,chapchap akatoka mtungini.
Hahahaha, ashukuru Mungu hajatangulizwa ambako watu wakienda hawarudi , Sasa akaseme ni nani walikua wakimtuma

MTC | 101|
 
Mliokuwa mkinidhihaki naomba endeleeni Kunidhihaki ila huwa sibahatishi nikisema Jambo hapa na nilisema kuwa ndani ya Siku 90 tu ' Mpuuzi ' Sankara ambaye alikuwa haijui vyema nchi ya Rwanda na Serikali ya Rais wangu Kagame atakamatwa na tayari ameshakamatwa.

Sasa ndiyo atajua kwanini GENTAMYCINE ni Mnyarwanda na kwanini Rwanda ni Israel ya Afrika na kwanini Wanyarwanda ndiyo Raia wenye Akili Afrika nzima. Na kitakachompata huko aliko sasa atakuja Kuwahadithia ' Wapumbavu ' wengine wote wanaodhani kuwa nchi ya Rwanda ni ya Kuchezewa kama zingine.

Mmeshajiuliza Yule Dada Diana Rwigera kwanini sasa hivi amekuwa Mpole na mwenye Adabu zote tokea alipotoka ' Lupango ' akiwa na Mama yake hadi hivi akiwa hataki kabisa mambo ya Siasa? Hii ndiyo Rwanda na Sisi ndiyo Wanyarwanda ambao hatushindwi Kitu kama tukiamua.

Na sasa tunamaliza ' Mchoro ' wetu wa ' Kimafia ' kabisa wa Kumaliza Kazi kwa ' Mpuuzi ' mwingine ( Adui wa Rwanda ) ambaye anaishi Uhamishoni nchini Afrika Kusini huku akisaidiwa ' Kimbinu ' na Rais mmoja hivi wa Afrika Mashariki sasa ni Mstaafu katika Mji wa Mahakama ya Mananasi na ' Wapuuzi ' wengine wachache wa hiyo hiyo nchi akiwemo na aliyekuwa Waziri mmoja wa Kusafiri sana mwenye ' Bifu ; na Rais aliyepo sasa huko.

Huyu nae akipona mwaka huu basi aende akachinje Kondoo kwani wale ' Wanafiki ' wote wa Rwanda na wanaotumika na Watu wenye ' Chuki ' za Makusudi na Taifa zuri na lililobarikiwa la Rwanda lazima waondoke ' Kimafia '. Na hili liwe Fundisho Kubwa kwa Raia wa nchi moja hivi Jirani ambayo ina Umri mkubwa lakini bado Masikini kwamba Rwanda ni zaidi ya waijuavyo na Wao wakae chonjo kabisa kwani nchi yao Kwetu ipo Uchi kabisa na tunaijua in and out na wakicheza sasa hivi itakuwa Mali ya Rwanda.

Nawasilisha.
 
Mliokuwa mkinidhihaki naomba endeleeni Kunidhihaki ila huwa sibahatishi nikisema Jambo hapa na nilisema kuwa ndani ya Siku 90 tu ' Mpuuzi ' Sankara ambaye alikuwa haijui vyema nchi ya Rwanda na Serikali ya Rais wangu Kagame atakamatwa na tayari ameshakamatwa.

Sasa ndiyo atajua kwanini GENTAMYCINE ni Mnyarwanda na kwanini Rwanda ni Israel ya Afrika na kwanini Wanyarwanda ndiyo Raia wenye Akili Afrika nzima.

Nawasilisha.
Kile cha Malawi kinafanya kazi.
 
Back
Top Bottom