Msemaji wa CCM ni Nape tu-Chiligati | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msemaji wa CCM ni Nape tu-Chiligati

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Oct 17, 2011.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Oct 17, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mzee chiligati amesema kuwa katika Chama Cha Mapinduzi msemaji wao ni mmoja tu nae ni Nape,
  *Kama issue ndio hiyo,ccm wamfundishe Nape cha Kuzungumza,si matusi kama ya mwanza
   
 2. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #2
  Oct 17, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Riz, Malisa, Sita je?, mbona kila kukicha kuna matamko?! Ya hawa watu?
   
 3. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #3
  Oct 17, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Huyo Chiligati alisema hivyo kwa ajili ya kujitetea tu, anaogopa maswali magumu
   
 4. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #4
  Oct 17, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Mbona yeye amesema wkt yeye siyo msemaji?.
   
 5. Julius Kaisari

  Julius Kaisari JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 1,174
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Usisahau BAR KWATA,
   
 6. g

  greenstar JF-Expert Member

  #6
  Oct 17, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 390
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nadhani watu wajifunze kuzuia hisia ili Nidhamu ya Chama irejee,pia watumie vikao vya chama kumaliza hisia zao.

  Ombi langu kwa Nape & JK,ambao wameshika rungu la magamba wasiweweseka wala kurudi nyuma hata kama kuna kigogo anapinga utekelezaji wa maagizo ya NEC.Nawapa siku 30 wawe wameshawafukuza la wajiuzulu.
   
 7. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #7
  Oct 17, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  ngumu kutekelezeka!
   
 8. P

  Paul S.S Verified User

  #8
  Oct 17, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Kwani wewe ulidhani cheo cha Nape kinajukumu gani?
  Ndio jukumu lake hilo mkuu
   
 9. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #9
  Oct 17, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,887
  Likes Received: 6,072
  Trophy Points: 280
  Tatizo ni kuwa 'manabii hawakubaliki kwao' kama wahenga walivyosema, nashangaa mpaka sasa watu tunajiuliza masuala madogo kama haya wakati 'nabii' Kipanya kesha kupatia kilichopo!

  kipanya.jpg
   
 10. m

  mdau wetu JF-Expert Member

  #10
  Oct 17, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 548
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kwani kuna tofauti gani kwako?
   
Loading...