Msemaji mkuu wa Serikali kuongea na vyombo habari leo mchana.

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,057
10,715
Mkurugenzi wa Idara Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali ataongea na vyombo vya habari leo Julai 25, 2018 saa 6:00 mchana katika ukumbi wa Idara ya Habari- MAELEZO uliopo jengo la LAPF ghorofa ya tano, Jijini Dodoma.

Stay tuned..........

* Kunj tetesi kuwa hoja ya sakata la "gawio ama maduhuli" ya mashirika ya umma kwenda serikalini, itakuwa ajenda kuu!
 
Kuna mdau mmoja jana alisema, anamkubali sana mhe raisi Magufuli kwa kumfanya mhe Zitto kua mpinzani halisi tofauti na alivyokua Enzi za Kikwete, sasa hivi ndio naanza kumuelewa mdau yule why alisema vile.
 
Mkurugenzi wa Idara Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali ataongea na vyombo vya habari leo Julai 25, 2018 saa 6:00 mchana katika ukumbi wa Idara ya Habari- MAELEZO uliopo jengo la LAPF ghorofa ya tano, Jijini Dodoma.

Stay tuned..........

* Kunj tetesi kuwa hoja ya sakata la "gawio ama maduhuli" ya mashirika ya umma kwenda serikalini, itakuwa ajenda kuu!
Aongelee na masulufu
 
Hawa nao tushawachoka, sisi tunataka waje watuambie kwanini Magufuli anavunja katiba na sheria za nchi kwa manufaa ya ccm yake
Wewe unayasema hayo kwa manufaa ya chama gani?

CCM ni chama tu cha siasa na wanachama siyo Rais tu hata rafiki, ndugu, jirani au Mtanzania yeyote. Manufaa hayo ni ya hao watu siyo chama, kama yapo.

ELIMU, ELIMU, ELIMU!
 
Kati ya staff wanaolizunguka Jiwe huyu jamaa anaitwa msemaji wa serikali naona anapwaya sana!! Jiwe inabidi ampe mtu machachari!! Nape ana fit sana kuwa msemaji wa serikali!!! Ila kwa Jiwe kukubali itakuwa ngumu sana!!!
 
Aeleze pia kama ilikuwa muhimu kukusanya watu wote wale na gharama kubwa vile eti kupokea hizo pesa ambazo angeamuru fedha zipelekwe hazina
Kubudget kawafundisha huyohuyo......hicho ulichoandika hapa wazo umelitoa kwake naona mshaanza kumuelewa our beloved President.
 
Mkurugenzi wa Idara Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali ataongea na vyombo vya habari leo Julai 25, 2018 saa 6:00 mchana katika ukumbi wa Idara ya Habari- MAELEZO uliopo jengo la LAPF ghorofa ya tano, Jijini Dodoma.

Stay tuned..........

* Kunj tetesi kuwa hoja ya sakata la "gawio ama maduhuli" ya mashirika ya umma kwenda serikalini, itakuwa ajenda kuu!
Hivi mwanamme una PhD( kama ni ya kweli) unakubalije kupewa kazi ya Uvuvuzela?
 
Mkurugenzi wa Idara Habari na Msemaji Mkuu wa Serikali ataongea na vyombo vya habari leo Julai 25, 2018 saa 6:00 mchana katika ukumbi wa Idara ya Habari- MAELEZO uliopo jengo la LAPF ghorofa ya tano, Jijini Dodoma.

Stay tuned..........

* Kunj tetesi kuwa hoja ya sakata la "gawio ama maduhuli" ya mashirika ya umma kwenda serikalini, itakuwa ajenda kuu!
Majibu ya Mbwa Wa Bandari Tafadhali
 
Back
Top Bottom