BuletAngle
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 688
- 558
Lakini pia mliambia kuwa wale watakao teseka ni wale waliozoea pesa za madili; kwa kifupi wale ambao kazi zao hazieleweki lakini walikuwa wakionekana wanakula bata tu.Watanzania Wengi ni wajinga sana!
Si mlishangilia kipindi Jamaa anasema atashusha matajiri waishi kama mashetani!
Hata theory za uchumi zinakataa kabisa kama ili umpandishe huyu masikini basi lazma umshushe tajiri! HAKUNA KITU KAMA HICHO DUNIANI KOTE!
Sasa wanaoongoza kwa kulalamika ni wale wale waliokuwa wanashangilia watu kushushwa!
Mi nasemaje!
Jamaa aendelee kukaza ili watanzania tuache unafiki
Ukiona nchi ina kiongozi akipata tu bar akiona watu wanakula bata roho inamuuma huyo hafai kuwa kiongozi!Lakini pia mliambia kuwa wale watakao teseka ni wale waliozoea pesa za madili; kwa kifupi wale ambao kazi zao hazieleweki lakini walikuwa wakionekana wanakula bata tu.
Watanzania Wengi ni wajinga sana!
Si mlishangilia kipindi Jamaa anasema atashusha matajiri waishi kama mashetani!
Hata theory za uchumi zinakataa kabisa kama ili umpandishe huyu masikini basi lazma umshushe tajiri! HAKUNA KITU KAMA HICHO DUNIANI KOTE!
Sasa wanaoongoza kwa kulalamika ni wale wale waliokuwa wanashangilia watu kushushwa!
Mi nasemaje!
Jamaa aendelee kukaza ili watanzania tuache unafiki
Nikisema yameninyookea nitakua Muongo mkuu!Mkuu wewe naona yamekunyookea mimi nilifata ile kauli ya Raisi wa wanyonge nikaona neema si ndiyo hii
Na humu jukwaani kulikua na kauli za shombo kwelikweli, yaani kila tulivyokua tunaelezea biashara haziendi ni full kushambuliwa kua sisi ni wapiga dili, wakwepa kodi na maneno kibao ya kuudhi.Nikisema yameninyookea nitakua Muongo mkuu!
Ila mi nakumbuka tuligombana na rafiki zangu wa karibu kabisa hayo mambo yakusema yeye rais wa wanyonge halafu ana wa shughulkia matajiri!
Masikini tukapiga kelele weeee! Tukaambiwa wapiga dili .....
Mkuu nilikuwa nimelogwa nahisi wakati nashabikia mambo yale ..NajuuutaNa humu jukwaani kulikua na kauli za shombo kwelikweli, yaani kila tulivyokua tunaelezea biashara haziendi ni full kushambuliwa kua sisi ni wapiga dili, wakwepa kodi na maneno kibao ya kuudhi.
Ila sasa hivi saaafi kabisa kila mtu ni kilio, unapofurahia matajiri kuishi kama mashetani basi tambua maskini nae ataishi kama ibilisi.
Maendeleo hayana chama
Saaaafi saaana kama na wewe ulikua ni miongoni mwa wale mashabiki, kiroho safi kabisa nakuombea uzidi kuisoma namba vizuri tena uisome kwa herufi kubwa ili siku nyingine mue mnapunguza viherehere watu wanapozungumzia uhalisia wa mambo jinsi yanavyoenda.Mkuu nilikuwa nimelogwa nahisi wakati nashabikia mambo yale ..Najuuuta
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi hizo kauli za shombo zote zimerudi feri .. watu wote wanalia kilio cha aina Moja ... aliyesema wakati ni mwalimu mzuri hakuwahi kukoseaNa humu jukwaani kulikua na kauli za shombo kwelikweli, yaani kila tulivyokua tunaelezea biashara haziendi ni full kushambuliwa kua sisi ni wapiga dili, wakwepa kodi na maneno kibao ya kuudhi.
Ila sasa hivi saaafi kabisa kila mtu ni kilio, unapofurahia matajiri kuishi kama mashetani basi tambua maskini nae ataishi kama ibilisi.
Maendeleo hayana chama
Haha hahaSaaaafi saaana kama na wewe ulikua ni miongoni mwa wale mashabiki, kiroho safi kabisa nakuombea uzidi kuisoma namba vizuri tena uisome kwa herufi kubwa ili siku nyingine mue mnapunguza viherehere watu wanapozungumzia uhalisia wa mambo jinsi yanavyoenda.
Barikiwa sana mkuu,
Maendeleo hayana chama
Hapo ndipo nnapokubaliana na kauli ya mkuu kua maendeleo hayana chama.Sasa hivi hizo kauli za shombo zote zimerudi feri .. watu wote wanalia kilio cha aina Moja ... aliyesema wakati ni mwalimu mzuri hakuwahi kukosea
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wamezikimbia familia zao.Mi nilijua hali mbaya ni peke yangu kumbe na wenzangu pia...
Ndiyo mkuu tupo wengi hali c hali biashara haziend yani ni full kusinzia kwenye biadhara, nasikilizia sikilizia nikiona hali c hali nafunga biashara narudi kijijini nikalime mihogoMi nilijua hali mbaya ni peke yangu kumbe na wenzangu pia...
Bado 2020 mtampa tenaJamani msema kweli ni mpenzi wa mungu....
Siamini kama kujitahidi kote kuwahi kuamka na kuoga kila kukuchapo na kuwahi officen lakini mambo ni Bila bila ,,,
NJaa inazidi kuwa kali upande wangu ,, Japokuwa mimi ni mwenye kujituma sana katika utafutaji wapesa ila kwa sasa nimeamuwa kuwa mkweli
HALI YA PESA KATIKA MZUNGUKO WA KIBIASHARA NI KISANGA,,,
Maduka mengi ya mjini posta na movement ya watu imepunguwa pamekuwa peupe pee maduka mengi mageti yamefungwa,,
majengo mengi yapo matupu mjini kweupe kama paja la mzungu,,,
maneno yote yamenitoka ila point ya msingi ni .... Njaa inazidi kuwa kali mifuko imekauka MJOMBA TUSAMEHE KAMA TULIKUKOSEA .
wale matajiri kuishi kama mashetani nilidhani kuwa wao wakiwa mashetani sisi wa hali ya chini tutakuwa malaika kumbe imekuwa ndivyo sivyo
MATAJIRI NA MASKINI WOTE TUNAISOMA NUMBER..
Upande wa nyumbani napo unahisi ukifika utakuwa salama atleast unaweza kupata faraja japo upate hata usingizi inakuwa tofauti mambo yani NO MONEY NO LOVE maisha ya wasiwasi kama unaogea nnje pamoja na kujikwamua kote kuamka na kutafuta kwa bidii unaweza kuambulia nauri ya kuja town na kurudi home dah kwakweli naomba niwaombee msamaha au kama vipi na mimi NARUDI NYUMBANI nahisi naweza kupata ugali wa baba pale magogoni.
Ujinga wakati wa kwenda mkuu sio wakati wa kurudi..sina muda wakupoteza kwa sasa