Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Mmh una moyo wa kijasiri kweli kusema linalo kukera
Mungu hajatusahau,kuna maisha baada ya maisha haya mafupi.WAISLAM NDIO TUMESAHAULIKA KABISA
AmiinMungu tunyooshe kwa kupita JPM mpaka watanzania wakae sawa kiakili
Huyu sio msukuma wala hana hata damu ya usukuma ndani yakeWasukuma miaka yote tulikuwa tunachunga ng'ombe leo tumeingia maofisini imekuwa nongwa.yeeh!