Msekwa: 'Pacha' wa nne

Joined
Nov 24, 2010
Posts
54
Reaction score
3
Ni juzi tu Msekwa amerushwa bungeni na mbunge wa Ngorongoro kuwa anahusika katika ufisadi huko ''mbugani''sasa naona CCM wamemchunia tu wakati kwa kigezo hicho anasifa zote za kuingia kwenye familia ya ''mapacha watatu''na hivyo kujivua gamba.kama asipofanya hivyo basi na ''baba yangu''Lowasa asing'oke ng'o.

Tatizo ccm hakuna aliye msafi ,nasikila m2 akizeeka anakuwa na busara wengine wanazeeshwa na laana za wataTanzania

Mmeshapata sababu,
Yangu macho na masikio...

Wewe unachanganya mafaili tu tuulize sisi wataalam wa mambo.

Amechokoza ndume Ngoyai ngoja aipate ile mutu itamtengeneza. ****** kama marekani anachonganisha halafu anakaa mbali

Tatizo ccm hakuna aliye msafi ,nasikila m2 akizeeka anakuwa na busara wengine wanazeeshwa na laana za wataTanzania

kinachosikitisha wengine wako above 70yrs na wanakaribia 80yrs lakini bado mafisadi wa kutupwa, sijui wakikwiba wanajiridhisha kuwa bado ni vijana na they have very long life ahead?

Washachakaaaaa,wote hao..............full kuiba............................

Lowassa network at work ila amin hata mfanyeje lowassa hawezi kuwa rais!!!

Wewe unachanganya mafaili tu tuulize sisi wataalam wa mambo.

Mtaalamu wa laana?ukikubali ntaamini ila tofauti na hivyo sidhani kama utakua na utaalamu mwingine

Hivi hivi vikongwe vya ccm vinadhani vikifa warithi wao wataendeleza hizo mali za wizi zitapukutika kabla ata yakuoza ni bora tu wakaridhika na kile walichonacho kwani naamini si kidogo kiwatoshelesha kwa vizazi vijavyo

Wewe unachanganya mafaili tu tuulize sisi wataalam wa mambo.

for sure, the way you use to comment you don't deserve to be the member of this community/forum because your comments are always subjective.

kikwete ondoka nguvu ya uma inakuja utakuwa kama gadafiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Usiumize kichwa nyumba ile haina msafi

kinachosikitisha wengine wako above 70yrs na wanakaribia 80yrs lakini bado mafisadi wa kutupwa, sijui wakikwiba wanajiridhisha kuwa bado ni vijana na they have very long life ahead?

unamaanisha kuwa vijana wizi ruksa?

Mkuu hivi ni nani wa kumung'oa Lowassa?

Safi sana hapo amebaki mk we re tu ambaye anakila dalili za kuwa Gamba, wengine wote image zao zina magamba, hivyo zoezi hilo limeishia kwa RA tu otherwise yafanyike mapinduzi kwenye chama.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…