Mkuu Rev,
Mbona " Warioba Report" ilishatoka siku nyingi na baada ya hapo ukafuatia mkakati wa kupambana na Rushwa NACSAP 1 ambao ulitekelezwa hadi nadhani 2006 ulipofanyiwa review na kuandaa NACSAP 2 - ( Hii sina uhakika kama imeshaanza kutekelezwa)