Msekwa: Kamati kuu CCM kuijadili Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msekwa: Kamati kuu CCM kuijadili Arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by KAUMZA, Jan 10, 2011.

 1. K

  KAUMZA JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 685
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Makamu wa mwenyekiti wa CCM Taifa komredi Msekwa amesema Rais JK amesononeshwa sana na kilichotokea Arusha na amesema Kamati kuu kujadili suala hilo. Wakati huo huo Makamba ambaye ni katibu mkuu wa CCM amesema hakuna mazungumzo na CDM. Amesisitiza utii kwa aliyekuzidi nguvu"MAMLAKA"
   
 2. k

  kayumba JF-Expert Member

  #2
  Jan 10, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 654
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Je CC ikiamua mazungumzo itakuwaje? Makamba sijui ndiyo uzee huo......!
   
 3. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #3
  Jan 10, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  si atatii mamlaka, si ameishasema jamani, mbona hivyo kwa mzee wa watu?
   
 4. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #4
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Makamba ataishia huko kwao sijui kijiji gani kilichozaa ms*nz kama huyu.Huvi nani kaweka huzi bani jamani? nataka nijilipue fasta
   
 5. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #5
  Jan 10, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ni hatua iliochelewa sana hapa na wala haina haja yoyote CCM kufanya kikao kwa hizi CACULATED DEATHS.

  Na mpaka sasa I cannot rule out seeing some people being requested to defend themselves in THE HAGUE FOR DAILY MOUNTING ASTROCITIES AND POLICE BRUTALITY in killing for the good of a group of politicians.

  Kwa mtaji wa MAUAJI YA KINYAMA PEMBA, UNGUJA NA ARUSHA, chama cha CCM kimefungua ukurasa mpya kisiasa nchini. Kote walikochakachulia Umeya waanze kuondoka wenyewe maana wananchi hatutawapa wakati tulivu kwa kwa kukumbatia dhuluma.
   
 6. shiumiti

  shiumiti JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2011
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 438
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mzee Makamba naona anataka kumaliza muhula wake wa Ukatibu Mkuu vibaya...... MAANA ANA JAZBA AMBAZO HAZINA MSINGI KAMA KIONGOZI, LAZIMA AWE NA SUBIRA. KAMA HAWA (design ya akina Makamba) NDO VIONGOZI WETU, BASI TUNA SAFARI NDEFU SANA KUFIKIA MAENDELEO NCHI HII......
   
 7. h

  hamidshaban JF-Expert Member

  #7
  Jan 10, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  nliwah kukaa bush. Mzee mmoja akawa mchovu akawa na kawaida ya kunukuu mistari ya bible akenda kilabuni anaitaja. Basi wanakijiji wanamsifia., mzee anajua sana biblia.
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Jan 10, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Tunasubiri kauli yao sijui watakuwa na jipya!
   
 9. Omuregi Wasu

  Omuregi Wasu JF-Expert Member

  #9
  Jan 10, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 753
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Watasema Msekwa ni mdini anatetea Wakatoliki wenzake hivyo afukuzwe katika Chama. Inakuwaje aseme hivyo wakati Alhaji Makamba ameshatoa msimamo wa kumwakilisha Alhaji Kikwete?
   
 10. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #10
  Jan 10, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hawa jamaa tatizo lao bado wana fikra za zama za 'Mwalimu' whereby governing a nation was a hybrid of a political party and all other sectors of the governing bodies joint together under a single party ideology. Chama cha siasa kina uwezo wa ku influence heavily matendo ya law enforcement bodies na kujiamulia mambo.

  They need a reminder that our nation is in a second decade since the adaption of multi party system. Hivyo Chadema wanaweza fanya mkutano wao nao pia wakitaka na CUF sijui TLP and rest as far as we Tanzanians are concerned the outcome wont amount to anything in our interest as cititzens in this instance. Tunachotaka ni vyombo husika kufuatilia kilicho tokea Arusha na si CCM inaonaje or anyother political party for that matter.

  CCM as political party and 'Makamba' senior can only impose descipline within their boundaries which lie with their party members and not all Tanzanians are still associated with the party. CCM is also not a government, only its elected members form part of the government and there are responsible bodies within the government to deal with such issues.

  Hii ndio sababu wengine tunaona kwa nini watu mnahangaika na Makamba senior yeye ajachaguliwa na wananchi popote pale hawa represent yeye ni kiongozi tu wa watu waliomchagua kichama na mipaka yake inaishia ndani ya CCM period. Na huu upuuzi wa CCM kusema sijui watafanya kikao wa deal na matatizo ya taifa atutaki kusikia waongelee matatizo yao ya chama.

  Mwisho wa siku sheria au katiba inapovunjwa tunataka kusikia vyombo husika vina deal na hivi vitu na si chama cha siasa. CCM si chombo cha sheria ni chama cha siasa na hapa tunahitaji chombo cha sheria na wataalamu wa sheria watuelezee uhalali wa matendo yaliyotokea Arusha na ikiwezekajana watu wawajibishwe kupitia sheria hiyo hiyo au mntaka kutuambia law enforcement yetu pia hipo chini ya CCM. Huu upuuzi kwa kweli unachosha na bado wapo usingizini hawa CCM.
   
 11. p

  pambio Member

  #11
  Jan 10, 2011
  Joined: Dec 20, 2010
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yamekuwa hayo ndugu yangu?Kamati kuu CCM inawakatoliki wangapi?
   
Loading...