MSD kwanini mmebadili gia angani?

Imechukua jitihada za ongezeko la deni kuwataka wateja wake walipe sio kukopa


Mkuu mbona hawajabadili gia angani hilo bandiko lipo clear lipa upate huduma tuliza akili hapo mwishoni utaelewa tu #tabu iko pale pale
 
Hivi MSD ni sehemu (read shirika au taasisi) ya serikali, ina maanisha nini kuikopesha serikali? usahihi ungekuwa taasisi nyingine (hospitali) za serikali
 
Chadrama ni shida, mbona mnawawekea MANENO yenu ya kulialia?
Pathetic DNA
 
MSD ni shirika la umma.
Wapo chini ya sheria ya mashirika ya umma
Hivi MSD ni sehemu (read shirika au taasisi) ya serikali, ina maanisha nini kuikopesha serikali? usahihi ungekuwa taasisi nyingine (hospitali) za serikali
 
Yes. Ila shirika la umma linamamlaka ya kusitisha huduma kwa taasisi yoyote au hata kushikilia mali za taasisi husika ya serikali kama watawadai kwa muda mrefu. Hata mali za HQ.
Ila utu ndo hutumika mara nyingi kuliko nguvu na sheria
kuwa shirika la umma maana yake lipo chini ya serikali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…